Mechi ya Tabora United vs Young Africans inazungumziwa kuliko mechi ya Shirikisho

 
Unazeeka vibaya sasa mchukue mwanao wa darasa la 4 weka tv mbili afu weka mech zote mbili afu muulize wew unapenda kuangalia mech gan atakupa jibu
Mwanangu hawezi kutazama shirikisho
 
Si
Si kwamba ni mahaba yako kwa utopolo yaliyokupiga upofu?
 
Ungekuwa ni kati ya wale wazee wawili angalau tungekuzingatia
 
Mechi ya Simba inazungumziwa Africa nzima na wacheza kamari wote wanawajibika kuandaa mikeka kwa ajili ya kupata ridhiki kupitia Simba.
 
Kwani Simba wanacheza lini iyo mechi ya Kombe la kina Mama?maana taarifa zake zimekua finyu kuliko taarifa za mechi ya Yanga na Tabora.
 
UMISETA ambayo watu wanatamba walitwaa Shanga za shingoni, na waka alikwa ikulu kuziringishia. Lol

Na hamponi tena, Chezea Cancer weyeee.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
 
Kati ya mechi ya Yanga na Kitayose na Al Masry na Simba ni mechi ipi inaiongezea timu points za FIFA na CAF RANKING?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…