Mechi ya Taifa Stars na Uganda yasimama kwa muda kutokana na taa za uwanjani kupungua mwanga. Taa ziliwaka ikaendelea


we nyumbani kwako huwa unakagua taa?
 
Huu uwanja ni kipimo kizuri sana Cha ubabaishaji wa michezo nchini
 
Manager atakuwa anaonewa tu. Hiki kiko juu ya uwezo wake. Mbona mnapindisha,waziri wa nishati na jopo lake kwenda na maji
Kwa upande wangu sidhani kama wazir wa nishati anahusika directly na lililotokea leo,unaweza kukuta uwanja haupati service inavyotakiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…