Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata huo Umeme si upo ndani ya hilo neno 'kubahatisha'?Kila jambo Afrika ni kubahatisha,japo nahisi umeme umepungua nguvu
Sent from my Nokia 1.4 using JamiiForums mobile app
Tunachukuliana poa sana Waafrika. Tunataka standard zetu basi zivumiliwe na wengine, ujinga wetu ubebwe kikawaida na wengine.
Kwa hio ina maana hizo taa hazikuchekia once more, basi hata kuficha aibu katika mechi kubwa ya kihistoria. Yani hata hawakutaka kukagua kila kitu na vile vitu ambavyo walizembea angalau wavichangamkie.
Anyway tushazoeana. Maisha yataenda tu.
Kabisa. Kama mtu hujawahi kuiona jehanum au ulikuwa unaisikia tu. Basi hii ndio hiiTanzania ndio motoni kwenyewe. Ona hii aibuu
Makamba simpendi Ila hapo hahusikiJanuary makamba anaupiga mwingi!
Manager atakuwa anaonewa tu. Hiki kiko juu ya uwezo wake. Mbona mnapindisha,waziri wa nishati na jopo lake kwenda na majiMeneja wa huo uwanja kazi imemshinda
Chawa mmeanza kujitokezaMeneja wa uwanja sio mfanyakazi wa tanesco bro
acha kumtaja huyo ibilisi shetaniNchi hii Magufuli tu ndio alikuwa anaiweza. Ona watu wanaopewa nguvu ya kuendesha wizara hawajali na kitu muhimu kabisa kama hiki. Ni aibu yetu kubwa sana hii
Mwambie kama ni mume wako, baba yako, mama yako au awala yako kama ndio meneja wa uwanja kesho anafukuzwa kazi.we nyumbani kwako huwa unakagua taa?
Huyo atakuwa anayolewa kafara tu. Hapa hili liko juu ya uwezo wake. Waziri wa nishati[emoji848]meneja wa uwanja kazi hana
Wanaeneza mabango ya msikivuMbele ya Waziri Mkuu umeme mdogo. Kweli ni awamu ya Kazi iendelee Siasa za majukwaani badala ya HapaKazi tu. AIBU
Ni mambo ya ajabu sana haya mkuu
Kwa upande wangu sidhani kama wazir wa nishati anahusika directly na lililotokea leo,unaweza kukuta uwanja haupati service inavyotakiwaManager atakuwa anaonewa tu. Hiki kiko juu ya uwezo wake. Mbona mnapindisha,waziri wa nishati na jopo lake kwenda na maji