Forrest Gump
JF-Expert Member
- Jul 2, 2021
- 637
- 1,532
Mwambie baba ako atapike tozo za mpesa atengeneze taa.Acha Matusi tiketi yenyewe hujakata umeingia bure then unalalamika hujui mifumo ya umeme
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie baba ako atapike tozo za mpesa atengeneze taa.Acha Matusi tiketi yenyewe hujakata umeingia bure then unalalamika hujui mifumo ya umeme
Wana habari wa serikaliKuna watu kwa kweli hawajipendi walienda kuchezea switch makusudi wameshakamatwa tayari jeshi la
Polisi wanafanya kazi Yao.
Sikiliza taarifa ya habari siku ya keshoWe umejuaje
Nchi inaendeshwa na wapiga porojo tu maneno mengi vitendo sufuriTulizungumza hili jambo tukaonekana wabaya, huyu kipara ni maharage ndani ya wizara.Ukiacha Uganda ambapo nchi nzima inatazama mpira,Dunia nzima inashangaa! Hii ni aibu kubwa sana! Ilipaswa wawajibike kwa kujiuzulu ila huenda wote ni walamba asali hakuna atakayewajibika!
Januari watu hawakupendi mama anakubeba kwa mbeleko kwa sababu ya connection ya jk inayofika hadi kwa makamba mzee. Waswahili uongozi hamuwezi mumeweka mbele ubinafsi. Laana ya kumsaliti magufuli haitawaacha milele.Tukienda tu kwa kubembelezana kama ilivyo kwa Waziri wa Nishati! Iko siku tutapata bonge la Aibu zaidi ya hili la umeme kuwa mdogo kwenye uwanja wa Mkapa mechi ya kimataifa ya Tanzania na Uganda!
Halafu sijui ni kwa nini huwa inakuwa hivi!
Kila mtu aliyewahi kulalamikiwa sana na wananchi kwenye tawala hizi, mtu huyo huja kuwa sababu ya serikali kufeli vibaya na kuwa ya hovyo hovyo tu
Nchi nzima kwani imekosa watu makini hadi iwe yuleyule tu aliyefeli hata kabla ya kuanza?
Hivi majuzi kwenye ziara ya Rais kabisa kule Arusha! Umeme ulikatika mbele yake na bado mh Januar Makamba bado aliendelea kuwa waziri
Mfano
Makonda!
Kwamba hii ndio jinsi ya kudanganya umma? Ili iwe nini, kumsafisha mama?Kuna watu kwa kweli hawajipendi walienda kuchezea switch makusudi wameshakamatwa tayari jeshi la
Polisi wanafanya kazi Yao.
Je unadhani pesa ni za kuchezea tiketi umepewa bure then unalalamika ili iweje Mkuu ?Mwambie baba ako atapike tozo za mpesa atengeneze taa.
[emoji23][emoji23][emoji23]dahLUKU iliisha tumeshanunua UMEME wa Aftatu ili tumalize Mechi [emoji23]
Hapo ameomba mabilioni kadhaa akafanye yake na mama anaitikia tu hayaNchi inaendeshwa na wapiga porojo tu maneno mengi vitendo sufuri