Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]dahLUKU iliisha tumeshanunua UMEME wa Aftatu ili tumalize Mechi [emoji23]
Je, nikifukuzwa Kazi familia yangu utailisha wewe?Ni aibu iliyoje kwa taifa kutokana na aibu ya taa za uwanja kutoa mwanga hafifu na baadhi kuzima kabisa.
Changamoto za uwanja zimekuwa nyingi mno,na sijui ni kwa nini hali inazidi kuwa mbaya.
Kama mwenda zake angekuwepo,leo shoo ambayo angetoa,sijui kama kuna mzembe angeendelea kuwa madarakani leo.
Tumerudi nyuma sana na wahusika hawashtuki.
Viongozi wa uwanja wameshindwa kazi kwa sababu gani,wao ndiyo mainjinia wa umeme?Hawa viongozi wa huu uwanja mimi naona wameshindwa kazi
Mbona 2017 mechi CAF ya Simba na Al masry umeme ulififia Kama leo? Rais alikuwa Nani?.Walamba Ramba Ramba......usirudi na mechi hiairishwe kabisa.
Mnaleta mapenzi kwenye uongozi. Tukiwaambia Magufull alikuwa anapiga kazi muelewe sasa.
Watanzania tuache tumaneno,,,hata kwako hitilafu inaweza tokea .kila kitu ni kulalama tuu ,wengine mnalalamika wakati ndoa zimewashinda kuendesha