Mechi ya Taifa Stars na Uganda yasimama kwa muda kutokana na taa za uwanjani kupungua mwanga. Taa ziliwaka ikaendelea

Mechi ya Taifa Stars na Uganda yasimama kwa muda kutokana na taa za uwanjani kupungua mwanga. Taa ziliwaka ikaendelea

Ni aibu iliyoje kwa taifa kutokana na aibu ya taa za uwanja kutoa mwanga hafifu na baadhi kuzima kabisa.

Changamoto za uwanja zimekuwa nyingi mno,na sijui ni kwa nini hali inazidi kuwa mbaya.

Kama mwenda zake angekuwepo,leo shoo ambayo angetoa,sijui kama kuna mzembe angeendelea kuwa madarakani leo.
Tumerudi nyuma sana na wahusika hawashtuki.
Je, nikifukuzwa Kazi familia yangu utailisha wewe?
 
Kuna Mapaka nimeyaona uwanjani yamebeba picha ya 'Mama' kwenye giza🐒🐒🐒
 
Mnasababisha watu waendelee kumuongelea marehemu vibaya!

Kama unategema angekuwepo hakutaka umeme ukatike likuwaje akakubali kifo?
 
Hii nchi nyie acheni tu.

Screenshot_20230328-214813_Chrome.jpg

 
Hawa viongozi wa huu uwanja mimi naona wameshindwa kazi
Viongozi wa uwanja wameshindwa kazi kwa sababu gani,wao ndiyo mainjinia wa umeme?

Wizara husika ilishindwa nini kusimamia kitengo cha umeme kwenye mechi kubwa kama hii?hii ni shida kubwa nchi hii na unaweza kukuta hata fire hawajajiandaa kuweka vifaa karibu in case ikitokea tatizo wafanye kitu kuokoa wanasubiri yatokee baadae walaumu viongozi wa uwanja.
 
Walamba Ramba Ramba......usirudi na mechi hiairishwe kabisa.

Mnaleta mapenzi kwenye uongozi. Tukiwaambia Magufull alikuwa anapiga kazi muelewe sasa.
Mbona 2017 mechi CAF ya Simba na Al masry umeme ulififia Kama leo? Rais alikuwa Nani?.
M
 
Zile treni za SGR zitakua zinazima maporini.
 
Back
Top Bottom