Mechi ya Yanga FC Vs TP Mazembe - Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Yanga ni habari nyingine kama huamini waulize TP Mazembe walivyopigwa leo. Yanga ni noma kweli.
 
Shida ya wachezaji wa yanga wakiwaona wachezaji wa nje wanawashangaa mwishowe wanapigwa hawana uzoefu wa kucheza nje mara nyingi ndio tatizo aaah
 
NIKO NAKUSANTE SANA TP MAZEMBE KWA HII MOYA UMEWAPIGANGA YANGA. WAKIKUYA LUBUMBASHI MUBHATOSHE MUMASHINDANO.
 
Kwa hiyo unashauri magazeti yangeandika nini labda!?
 
kama kawaida yao magazeti fc,wameendeleza rekodi ya kuwa mpira hauchezwi na muro na wala si yale mashindano ya malinzi cup unakwenda mbeya ukiwa matokeo unayo mfukoni,lazima viongozi waandae timu si kwa maandalizi ya kuikoga simba sasa wale vibonde wote wameshawafunga mbolembole na mwanaspoti wawaongopee kuwa hesabu zinawabeba,poleni jipangeni mechi ijayo kumbukeni hii ni michuano ya cuf si malinzi cup!
 
Binadamu tumetofautiana katika fikra. Wapo wenzetu wenye uwezo wa kuona hadi ya kesho yake, akina mshana Jr, pasco wanalijua hili vizuri.
Leo namuweka mwenyekiti mpendwa sana wa yanga, kwa kuona mbali akaamua kupunguza machungu ya mashabiki. Maana kiingilio na kufungwa juu kungeuma zaidi. Mpendwa mwenyekiti akaamua kupunguzia mashabiki na wanachama mojawapo. Waingie bure.
Mwenyekiti ubarikiwe sana.
 
KAULI KUTOKA KWA MSEMAJI WA TP MAZEMBE
Anasema mamutu ya hapa mukuje muone mushiba maana mushiba ndio watu wanaendaga bure sasa yanga wamefanya bure watu waje washuhudie mushiba yao

Huu kweli mushiba wanakwendaga bure, teh teh
 
Asiishie kwenye hiyo mechi moja na mechi zingine zinazofuata aendelee na moyo huo!
 
wacongo man bwana,eti akiulizwa kwanini anafikiri watz wamefanya kuingia bure uwanjani?
jibu: mutu ya musiba hafanyagi malipo.musiba huwa NI BURE KWA BA MUTU BOTE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…