Yanga ni habari nyingine kama huamini waulize TP Mazembe walivyopigwa leo. Yanga ni noma kweli.Mimi kama mdau wa mpira wa miguu nimefuatilia sana mchezo huu wa leo kupitia luninga. Niseme ule ukweli mpira wa YANGA kwa sasa hivi uko juu sana na kwa kweli wamecheza kwa ustadi mkubwa sana licha ya kufungwa. Goli walilofungwa ni goli ambalo timu yeyote inaweza kufungwa na inajulikana mpira ni dakika tisini. Mimi binafsi nimewakubali sana YANGA.