Mechi ya Yanga FC Vs TP Mazembe - Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Mechi ya Yanga FC Vs TP Mazembe - Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Bitoziii
Jamenaa
Th name
Chura wenu amekufa taifa leo mkachukue mwili wake
 
Saluti kwa niyonzima,otherwise wachezaji wengi Yanga wamecheza hovyo sana.Bahati mbaya tu kwao vyombo vya habari vitaripoti hivyo kwamba wamekufa kiume.Mazishi ya kifo icho DRC !
 
Yanga daima mbele nyuma mwiko, tunatazama mechi inayokuja. Mikia subirini Mazembe tutawaletea tena next season club bingwa nyie mnaitwa ndondo cup. TFF watakuwa roho zao zimefurahi, kama england kafungwa jana basi Yanga mashujaa.
 
Mimi kama mdau wa mpira wa miguu nimefuatilia sana mchezo huu wa leo kupitia luninga. Niseme ule ukweli mpira wa YANGA kwa sasa hivi uko juu sana na kwa kweli wamecheza kwa ustadi mkubwa sana licha ya kufungwa. Goli walilofungwa ni goli ambalo timu yeyote inaweza kufungwa na inajulikana mpira ni dakika tisini. Mimi binafsi nimewakubali sana YANGA.
 
Nadhani Watanzania tufike mahali tuache Siasa kwenye michezo kwani siasa haina nafasi kabisa.Ukisoma magazeti ya Tanzania wiki mbili zilizopita yalikuwa yanatufahamisha watanzania kuwa Yanga imejiandaa vya kutosha kiasi ambacho watanzania wasubiri matokeo tu.Magazeti yaliipamba Yanga mpaka ikabweteka kiasi cha kujiamini kuwa timu ya Tp Mazembe si lolote inafungika kirahisi wakati ukweli timu ya Tp Mazembe no timu Kubwa ktk Afrika.Matokeo tumeyaona uwanja wa Taifa.Viongozi wa Yanga acheni kucheza Mpira magazetini , matokeo mmeyaona.
 
Dhaaa kweli la kuvunda halina ubani yaani kila mkiingia ni 1-0 hivi ni kweli wa kimataifa au wasindikizaji wa kimataifa?
 
Back
Top Bottom