Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani halima mdee ni chadema??kizaliwa mjini sio issue.Umeanza ushabiki wa mpira lini au ndio kufuata mkumbo tu?
Mbona Halima Mdee ni shabiki wa Yanga na amezaliwa mjini kuliko wewe.
hivi siku hizi yupo redio gani?Kitenge atadondoka studio jamani
Manji aliona mbali, toka lini watu waende msibani kwa kulipia? Ndio maana ikawa bureWapenda vya bure, mmelipiwa teyari na mepata dawa yenu
Niko poa mtani!Nipo mtani Ruttashobolwa majukumu tu yamenitinga. Uko powa lakini...
Wa kimataifaDhaaa kweli la kuvunda halina ubani yaani kila mkiingia ni 1-0 hivi ni kweli wa kimataifa au wasindikizaji wa kimataifa?
Mara ya mwisho kununua magazeti ya dimba na bingwa ni mwaka 2008![emoji57] [emoji57]View attachment 360911Kama kawaida, timu ya magazetini...