Mechi ya Yanga vs kaiza chiefs, tiketi zote SOLD OUT, wa south wana hamu ya kuitazama Yanga

Mechi ya Yanga vs kaiza chiefs, tiketi zote SOLD OUT, wa south wana hamu ya kuitazama Yanga

Mechi ya Yanga na Kaizer chiefs imevunjwa record ya soccer la south Africa kuuzwa zote kabla ya siku mbili ya mchezo.

Unaambiwa mtaani watu wa South Africa wanahamu sana kuitazama team kubwa Africa Young Africans

Wanataka wamuone Aziz ki, Chama, mudathir n.k

Hii team ya Young Africans ishakuwa team kubwa Africa wamefanya pre season kubwa, wamecheza na team ya Bundasliga na zingine za South Africa

Mbumbumbu huko Egypt wao ni kucheza na team dhaifu za wanafunzi wa vyuo vya Madrasa na matokeo kuwa ya kificho wakitaka mashabiki wa Simba wasione.

Go Yanga tuwakilishe
Chanzo cha habari yako mkuu...
 

Attachments

  • images.jpg
    images.jpg
    11.9 KB · Views: 1
Tulia tu Mkuu, siku zilizobaki tukutane hazimtoshi hata paka kubeba mimba, ndio utawajua hao unaowaita mbumbumbu
 
Back
Top Bottom