Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Unalipia mabango huku una hasara ya B1. Ndo maana Manara anataka ajira huko dimbwini.7_2
Inakupa kiwewe😅😅
Kunywa maji mengi umeze machungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unalipia mabango huku una hasara ya B1. Ndo maana Manara anataka ajira huko dimbwini.7_2
Inakupa kiwewe😅😅
Kunywa maji mengi umeze machungu
Pale unapokuwa serious kwenye utani wa jadi.Mkuu watu wa Haina hii ni kuwaona kama hawako sawa sio wa kuwajibu
Tupo pamoja mpaka uzi wako uwe sold out kama tiketi za Yanga. Leo nipo off.Huyu Niko nae hadi aukimbie mwenyewe huu uzi
Hahaha, Hapo unakuta hata jezi og huwa hununui.Kolo akipigwa 5
Hata hasara iwe b 98109841000000900
Umetimiza wajibu wa kuwepo na timu SA?Me ni shabiki, mpenzi na mwanachama wa Yanga
Natimiza wajibu wangu
Hiyo ilitumika kulipia bango mwezi wa tatu, haitoshi.Nimelipa ada za uanachama ndo nauli na mishahara ya wachezaji
Chanzo cha habari yako mkuu...Mechi ya Yanga na Kaizer chiefs imevunjwa record ya soccer la south Africa kuuzwa zote kabla ya siku mbili ya mchezo.
Unaambiwa mtaani watu wa South Africa wanahamu sana kuitazama team kubwa Africa Young Africans
Wanataka wamuone Aziz ki, Chama, mudathir n.k
Hii team ya Young Africans ishakuwa team kubwa Africa wamefanya pre season kubwa, wamecheza na team ya Bundasliga na zingine za South Africa
Mbumbumbu huko Egypt wao ni kucheza na team dhaifu za wanafunzi wa vyuo vya Madrasa na matokeo kuwa ya kificho wakitaka mashabiki wa Simba wasione.
Go Yanga tuwakilishe
Kolo akipigwa 5
Hata hasara iwe b 98109841000000900
Tarehe 8 ndio utajua kama ni utaniPale unapokuwa serious kwenye utani wa jadi.
Acha ubaili mkuu, ukumbuke manara anahitaji mshahara.Imeipeleka Simba shirikisho
Sio kweli mkuu .........umeitoa kwa msemaji Ali Kamwe 😀 😀Official page ya Kaizer chiefs