jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,888
- 6,459
Mkuu yanga kwanini una sema haiusiki na ulinzi wa kati Yanga ni wenyeji wa Timu inayokuja Tanzania kucheza nayo.Yanga waliwahi kuadhibiwa na CAF kisa kikiwa Basi la Rivers lilivunjwa kioo na kuibiwa Dola kadhaa wakati Yanga hawahusiki na ulinzi wa bus la Livers, vitu hivyo vili ibiwa wakati wachezji wakiwa mazoezini pale uwanja wa Taifa.
Shida ya Simba imekua iki lalamikiwa kwa muda mrefu na timu tofauti zaidi ya 7 zilizowahi kucheza na Simba apa DAR.
Sent from my SCV48 using JamiiForums mobile app