Mechi za CAF jukumu la ulinzi uwanjani nani anahusika? Simba ikanushe hizi tuhuma

Mkuu yanga kwanini una sema haiusiki na ulinzi wa kati Yanga ni wenyeji wa Timu inayokuja Tanzania kucheza nayo.

Sent from my SCV48 using JamiiForums mobile app
 

Huwa sio ukweli ndiyo maana hakuna adhabu wa ushahidi wa wazi. Ama wewe mwenzetu upo Ghana?

Ile ya Yanga uliona wazi kila kitu.
 
*Hotelini waliwekewa sumu kwenye chakula ikawathiri wachezaji wao watano na wakapona kabla ya mechi kwa jitihada za madaktari wao.
Hii wataijibu waliowapokea
 
Inatakiwa vyumba vihakikiwe kabla na baada.
Vikihakikiwa kabla tu itabidi wawepo na walinzi, maana watu wabaya wanaweza kuwataimu watu wanao hakiki wakiondoka tu, nao wafanye Yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…