Mechi za CAF Kesho: Yanga ataifunga Al Ahly na Simba atatoa Sare dhidi ya Jwaneng Galaxy, Na Tp mazembe atamfunga Mamelod

Dah, hivi unajua unazungumzia Odds 619 mzee?! How can i trust you? Kwa laki au Buku?
 
Aisee Mamelodi ni wagumu sana ni Timu ambayo hawajui wanacheza kiwanja gani wakifungwa ni kuwa wamezidiwa tu uwezo hao Mazembe wanakufa hovyo kwa Esperance kama wadudu waliomwagiwa Rungu hakuna Timu pale sasa hivi labda watoe sare...
Mamelodi huwa hawana cha home wala away ni wa moto kotekote.

Ukiona timu Africa hii imeweza kuwadhibiti Waarabu tena huwa wanawapiga nje ndani hiyo timu achana nayo.
 
YANGA atafungwa 1:0 bao ni la free Kik na Simba atatoka sare 0:0
 
Aisee Mamelodi ni wagumu sana ni Timu ambayo hawajui wanacheza kiwanja gani wakifungwa ni kuwa wamezidiwa tu uwezo hao Mazembe wanakufa hovyo kwa Esperance kama wadudu waliomwagiwa Rungu hakuna Timu pale sasa hivi labda watoe sare...
Mpira ungekuwa rahis kama ambavyo umeelezea hapo, basi Bayern munich angekuwa anabeba Uefa kila mwaka
 
Mpira ungekuwa rahis kama ambavyo umeelezea hapo, basi Bayern munich angekuwa anabeba Uefa kila mwaka
Munich athanasius beba kombe mara 5 mfululizo Real alibeba UEFA mara tatu shida yetu tunadhani mpira ni mgumu kwa kuwa hatujawekeza tunataka matokeo chanya..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…