Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Ramli inasearch bado
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣Habari Wakuu,
Kuelekea Mechi za CAF CHAMPIONS LEAGUE kesho tarehe 2 December, Matokeo yatakuwa kama Yafuatavyo,
Yanga vs Al Ahly (Yanga Atashinda)
Jwaneng vs Simba (Itaisha kwa Draw)
Tp mazembe vs Mamelod (Tp Mazembe Atashinda )
Mimosas vs Wydad (Wydad Atashinda)
Nouadhibou vs pyramids (itaisha kwa Draw)
Etoile sahel vs Petro de Luanda (itaisha kwa Draw),
M screenshot hii Post mapema ili asije kesho baada ya mechi zote kukamilika mkasema post ilieditiwa,
Tukutane kesho baada ya Game zote kukamilika. Hayo matokeo niliyoorodhesha ni ya Mechi zote za CAF za Kesho.
Muwe na Usiku mwema, Tukutane kesho Kwa Mkapa.
hasara kabisaMkuu nime stake mshahara wangu wote uliobaki kwenye mechi zilizobaki, kazi kwako kuniua au nitoboe.
Spika imepasukaMsuli umedondoka aisee
YashaharibikaBado kidogo unabii utimie
Acha utabiri kwa kutegemea nguvu ya bange 😂😂Yanga vs Al Ahly (Yanga Atashinda)
Imeanza saa 4Assec na wydad vipi huko?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wydad kafungwa 1, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Imeanza saa 4
Goma mbili zimetiki tu..Habari Wakuu,