Mechi za CAF Kesho: Yanga ataifunga Al Ahly na Simba atatoa Sare dhidi ya Jwaneng Galaxy, Na Tp mazembe atamfunga Mamelod

Mechi za CAF Kesho: Yanga ataifunga Al Ahly na Simba atatoa Sare dhidi ya Jwaneng Galaxy, Na Tp mazembe atamfunga Mamelod

Tp Mazembe anaongoza
Tunaomba iishe hivyo hivyo
Screenshot_20231202-175601_AiScore.jpg
 
Habari Wakuu,

Kuelekea Mechi za CAF CHAMPIONS LEAGUE kesho tarehe 2 December, Matokeo yatakuwa kama Yafuatavyo,

Yanga vs Al Ahly (Yanga Atashinda)

Jwaneng vs Simba (Itaisha kwa Draw)

Tp mazembe vs Mamelod (Tp Mazembe Atashinda )

Mimosas vs Wydad (Wydad Atashinda)

Nouadhibou vs pyramids (itaisha kwa Draw)

Etoile sahel vs Petro de Luanda (itaisha kwa Draw),

M screenshot hii Post mapema ili asije kesho baada ya mechi zote kukamilika mkasema post ilieditiwa,

Tukutane kesho baada ya Game zote kukamilika. Hayo matokeo niliyoorodhesha ni ya Mechi zote za CAF za Kesho.

Muwe na Usiku mwema, Tukutane kesho Kwa Mkapa.
Naona utabiri wako mechi mbili za mwanzo unakwenda vizuri.
 
Back
Top Bottom