Mechi za CAF Kesho: Yanga ataifunga Al Ahly na Simba atatoa Sare dhidi ya Jwaneng Galaxy, Na Tp mazembe atamfunga Mamelod

Hadi Sasa umesema KWELI Mamelodi kafungwa na TP mazembe
 
Mkeka wangu umeshachanika maana nilimuua Yanga.
 
Hadi sasa upo sawa mechi mbili...bado 4
 
Mkuu nime stake mshahara wangu wote uliobaki kwenye mechi zilizobaki, kazi kwako kuniua au nitoboe.
 
Umepatia 2 za kwanza japo hata Mimi niliota Yanga atashinda 2 Kwa Al Ahly,ngoja tusubirie.
 
Kwa mechi zilizobaki ni odds 111, niweke mzigo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…