Hahaaha... Miamala fc!Miamala FC wapewe tu zile point ili wachukue ubingwa! Yanga wamezingua!
Subiri mechi iishe.!hizo taarifa mbona msimamo hamuweki Afrika tunasafari ndefu
Yanga ni timu ya wapi ? Leo wanacheza ?Miamala FC wapewe tu zile point ili wachukue ubingwa! Yanga wamezingua!
na njaa auYanga watashinda tu hii game, msihofu..
WoyoooooooooooooooooooooNdanda kuchele yasalia VPL
daah yani Yanga wanapewa kombe wapige nalo picha halafu linaenda MSIMBAZI[emoji23] [emoji23] [emoji23]Yanga anakabidhiwa kombe, wale walioenda Fifa sijui watapewa kombe gani.