Mechi za mwisho VPL,Vita ya ubingwa na kushuka daraja

Mechi za mwisho VPL,Vita ya ubingwa na kushuka daraja

Natamani waongeze mechi mojamoja
ila iwe ni simba na Yanga
Hapa ilipo ishia patam
 
FULL TIME | Simba 2 - 1 Mwadui

19' Shiza Kichuya (Simba)
25' Ibrahim Ajib (Simba)
43' Paul Nonga (Mwadui)
 
Yanga anakabidhiwa kombe, wale walioenda Fifa sijui watapewa kombe gani.
daah yani Yanga wanapewa kombe wapige nalo picha halafu linaenda MSIMBAZI[emoji23] [emoji23] [emoji23]

KWELI KUWA SHABIKI WA VYURA FC[emoji196] [emoji196] INAHITAJI AKIL ZA ZIADA
 
Back
Top Bottom