Mechi za mwisho VPL,Vita ya ubingwa na kushuka daraja

Licha ya kumaliza kwa kufungwa goli 1 kwa 0 na mbao FC Yanga ya Dar es salaam
Wamechukua kombe hilo kwa mara ya 3 mfululizo.

Sasa Tunaingia mtaani kusherehekea
 
Reactions: SDG
Yanga FC hongera sana kwa kuwa Bingwa Tanzania kwa Ligi Kuu. Na hongera wengine wote waliobaki Ligi kuu hasa Mbao FC
 
Simba mabingwa, tunarejeshewa pointi zetu 3
Uongozi makini unaweka pingamizi mapema kabla ya mchezo maana majina ya wachezaji wa mechi hiyo huwa yametolewa. Kusubiri baada ya kufungwa ni uchuro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…