Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
Yanga walimkopa refa,leo kagoma kuwapa penalty.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Update[emoji818]Mnatoa Apdate yanini wakati mlisha sherehekea ubingwa
Hahahaah poleni na kipigo.........na hongereni kwa ubingwa.!Hawa Yanga inabidi wapewe fimbo haiwezekani wafanye ujinga mfululizo namna hii..!
Ubingwa bado wanapumlia mashine...! tunasubiri figisu ya TFFUbingwa kwa kufungwa [emoji3]
Walioshuka ni JKT, TOTO AFRICA na AFRICAN LYONMm nataka kujua walioshuka tu
Uongozi makini unaweka pingamizi mapema kabla ya mchezo maana majina ya wachezaji wa mechi hiyo huwa yametolewa. Kusubiri baada ya kufungwa ni uchuroSimba mabingwa, tunarejeshewa pointi zetu 3
Watu wameshakabidhiwa tayariUbingwa bado wanapumlia mashine...! tunasubiri figisu ya TFF
African Lyon, Toto Africa na JKT RuvuJamani Walioshuka Daraja Akina Nani?