Mechi za mwisho VPL,Vita ya ubingwa na kushuka daraja

Asante Mkuu ila hawa Mbao sio mchezo mchezo.
Hakuna lolote Mkuu, timu yetu Ni ya kijinha Sana, hivi sisi Ni Wa kufungwa na mbao kwenye mechi muhimu hivi? Inauma Sana, vipi lakini Mkoa mpya huko mambo yanaenda? Huku mjini chakula nimepanda bei mno kupita hata petrol,
 
Kuna vitu vinakwaza Sana, yaani kisaikolojia Tu ilikua tumeshawafunga hawa Mbao. Sasa kwa mpira huu tukikutana na Timu za waarabu tutatoka? Au ndio kama kila siku kwenda kuwasindikiza Tu wenzetu kwenye tournament?
Ahsante kwa kulitambua hilo mkuu..safari bado ni ndefu sana
 
Ubingwa gani huu mchachu namna hii?
Hongereni Wanayanga wenzangu,ila sina raha kabisa.
Bora nifanye mambo yangu mengine maana hata kuserebuka nashindwa.
Kwa unyoooooonge kabisa....
Cheers [emoji17] [emoji485]
Pole mtani.
Shemeji The bold ana kazi ya ziada leo.[emoji3]
 
Sasa ni mayenu hapa uwanja wa CCM kirumba Mwanza.
 
watani zangu mnaenda kuweka wapi kombe!!!! Nauliza tu.
 
Reactions: SDG
Nqjiuliza maswali mawili tangu kumalizika kwa vpl:

1:hivi yanga a naweza tangazwa bingwa akakabidhiwa kombe?

2:Ni lini hukumu ya fifa itatolewa kuhusu pointi za simba?

3:kama yanga wakitangazwa mabigwa na waandqji wa vpl je ikaja kutolewa hukumu kuwa simba inastahili pointi tatu za mchezo wa kagera,je u bingwaa utarejeshwa na kama yanga ikinyang'anywa u bingwa pale tff patakalika?

Wataalamu wa michezo mnisaidie kujibiwa maswali haya!!!! Thanks!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…