Mgibeon
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 11,308
- 21,507
Hakuna lolote Mkuu, timu yetu Ni ya kijinha Sana, hivi sisi Ni Wa kufungwa na mbao kwenye mechi muhimu hivi? Inauma Sana, vipi lakini Mkoa mpya huko mambo yanaenda? Huku mjini chakula nimepanda bei mno kupita hata petrol,Asante Mkuu ila hawa Mbao sio mchezo mchezo.