Kinga kingdom
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 769
- 846
Yanga 0 mbao 1Matokeo ya leo kwanza yapo vp?
Simba 2mwadui 1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga 0 mbao 1Matokeo ya leo kwanza yapo vp?
Umemaliza kila kitu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi kwa akili yako timamu ni kipi kwanza cha kuendea Fifa? Kama si kupoteza pesa.Chamsingi ni kuwa viongozi wa simba lazima wapige saundi kwa mashabiki zao ili wawe na amani wasije msimbazi kuwachapa viboko kwa uzembe wao hadi kufikia hapo.
Kwan bado viongozi hawajaenda Fifa?Hivi kwa akili yako timamu ni kipi kwanza cha kuendea Fifa? Kama si kupoteza pesa.Chamsingi ni kuwa viongozi wa simba lazima wapige saundi kwa mashabiki zao ili wawe na amani wasije msimbazi kuwachapa viboko kwa uzembe wao hadi kufikia hapo.
Kwenye paawatani zangu mnaenda kuweka wapi kombe!!!! Nauliza tu.View attachment 512151
Tunasubiri uamuzi wa FIFAAcha ujinga
View attachment 512165
Tatizo hilo likocha lilwandwamavi na mijino yake bora walifukuze tuHawa Yanga inabidi wapewe fimbo haiwezekani wafanye ujinga mfululizo namna hii..!
Well said Eddy.Hivi kwa akili yako timamu ni kipi kwanza cha kuendea Fifa? Kama si kupoteza pesa.Chamsingi ni kuwa viongozi wa simba lazima wapige saundi kwa mashabiki zao ili wawe na amani wasije msimbazi kuwachapa viboko kwa uzembe wao hadi kufikia hapo.
Wazee wa mezani.!View attachment 512174
Simba katika UBORA WENU
daah yani Yanga wanapewa kombe wapige nalo picha halafu linaenda MSIMBAZI[emoji23] [emoji23] [emoji23]
KWELI KUWA SHABIKI WA VYURA FC[emoji196] [emoji196] INAHITAJI AKIL ZA ZIADA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji1] [emoji38] .umenifurahisha sana,[emoji17] [emoji17] japo hawa vyura fc wamebebwa kwa mbeleko na baba yao (siefuefu.)daah yani Yanga wanapewa kombe wapige nalo picha halafu linaenda MSIMBAZI[emoji23] [emoji23] [emoji23]
KWELI KUWA SHABIKI WA VYURA FC[emoji196] [emoji196] INAHITAJI AKIL ZA ZIADA
Nakukumbusha tu.YANGA SHANGILIENI UBINGWA, ILA HAWA MBAO UDHALILISHAJI GANI HUU KWA WATU WAZIMA
Mkuu mechi muhimu ilikuwa Moja tu. Ile ya Shirikisho. Hii ya leo haikuwa na umuhimu bali kutimiza ratiba.Kinachouma ni Mbao kutufunga mechi za mhimu tu......
Heri moja kuliko tisa nenda, rudi.VYURA HAWANA FURAHA SABABU HAWAJIAMINI KAMA WAMEKUWA MABINGWA
WASHAJUA UBINGWA UNA HATIHATI WANAWEZA JIFANYA WANASEREBUKA HALAFU WAKAJA UMBUKA