Mechi za mwisho VPL,Vita ya ubingwa na kushuka daraja

Mechi za mwisho VPL,Vita ya ubingwa na kushuka daraja

Hivi kwa akili yako timamu ni kipi kwanza cha kuendea Fifa? Kama si kupoteza pesa.Chamsingi ni kuwa viongozi wa simba lazima wapige saundi kwa mashabiki zao ili wawe na amani wasije msimbazi kuwachapa viboko kwa uzembe wao hadi kufikia hapo.
Umemaliza kila kitu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hivi kwa akili yako timamu ni kipi kwanza cha kuendea Fifa? Kama si kupoteza pesa.Chamsingi ni kuwa viongozi wa simba lazima wapige saundi kwa mashabiki zao ili wawe na amani wasije msimbazi kuwachapa viboko kwa uzembe wao hadi kufikia hapo.
Kwan bado viongozi hawajaenda Fifa?
 
9dfe6c9530a6222a2850ae4febd3dacf.jpg
Mzigo Ushafika, kaeni mkao wa kula[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hawa Yanga inabidi wapewe fimbo haiwezekani wafanye ujinga mfululizo namna hii..!
Tatizo hilo likocha lilwandwamavi na mijino yake bora walifukuze tu

Kosa kubwa walilollifanya wanajangwani ni kitendo cha kumfukuza Hans Van Pluijm

Yanga ya msimu huu chini ya hilo likocha ni mbovu sana
 
Hivi kwa akili yako timamu ni kipi kwanza cha kuendea Fifa? Kama si kupoteza pesa.Chamsingi ni kuwa viongozi wa simba lazima wapige saundi kwa mashabiki zao ili wawe na amani wasije msimbazi kuwachapa viboko kwa uzembe wao hadi kufikia hapo.
Well said Eddy.
 
daah yani Yanga wanapewa kombe wapige nalo picha halafu linaenda MSIMBAZI[emoji23] [emoji23] [emoji23]

KWELI KUWA SHABIKI WA VYURA FC[emoji196] [emoji196] INAHITAJI AKIL ZA ZIADA

daah yani Yanga wanapewa kombe wapige nalo picha halafu linaenda MSIMBAZI[emoji23] [emoji23] [emoji23]

KWELI KUWA SHABIKI WA VYURA FC[emoji196] [emoji196] INAHITAJI AKIL ZA ZIADA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji1] [emoji38] .umenifurahisha sana,[emoji17] [emoji17] japo hawa vyura fc wamebebwa kwa mbeleko na baba yao (siefuefu.)
 
YANGA SHANGILIENI UBINGWA, ILA HAWA MBAO UDHALILISHAJI GANI HUU KWA WATU WAZIMA
Nakukumbusha tu.

Lengo la Kushiriki LIGIKUU ni kutwaa Ubingwa..Kunatofauti ya malengo kati ya Yanga na Mbao. wao wametimiza lengo lao na sisi tumetimiza lengo letu(UBINGWA).
 
VYURA HAWANA FURAHA SABABU HAWAJIAMINI KAMA WAMEKUWA MABINGWA

WASHAJUA UBINGWA UNA HATIHATI WANAWEZA JIFANYA WANASEREBUKA HALAFU WAKAJA UMBUKA
Heri moja kuliko tisa nenda, rudi.
 
Back
Top Bottom