Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnapenda sana hizi taarifa za misiba sijui mnafurahia ama? So boring
Mnaumiza ndugu jamaa na marafiki kwa ushabiki wenu wa kijinga.
Acheni kufurahia vifo vya wenzenu
Kwani Mh Raisi unaemlalamikia ndiyo aliyeumba kifo!?Apumzike kwa amani.
Ila kwa vifo hivi Mh. Rais kwa kujua au kutojua kwako unatukwaza sana mheshimiwa.
Kwanini unatufanyia hivi kweri?
Hadi afe nani? Au hadi tufe wangapi?
Si bora huku huko whats up watu wana default msg wanabadili jina tu wameshatuma mtu hata hajapoa wameshatuma. Juzi nilipewa habari ya msiba nikasema saa ngapi amefariki naambiwa sasa hivi, nikasema siwapigii wahusika kuwapa pole mpaka niwasikie wenyewe wametangaza maana msiba kawaida wenye msiba wanatakiwa waseme, wewe unapiga simu poleni kumbe mtu yuko ICU haya mambo nashauri hata kama umesikia lakini subiri wenye msiba wathibitishe.Inakera kinyama, mtu akisikia msiba tu anawahi JF kuanzisha uzi
Wewe unajuwaje kama wanaoleta hizi taarifa hapa ni ndugu zao wafiwa? Halafu kama hutaki kusoma siuache kwani umelazimishwa we vipi?Jf imekuwa ya MATANGAZO YA VIFO.
ipo siku mtu atafiwa na KUKU wake ataleta tanzia humu.tumechoka
Kwani ndugu zao wamewatuma mje mtangaze msiba wao?
Jazia Nyama kwenye Uzi wako, alizaliwa wapi, je Mtaji wa kuuza mafuta aliupataje,je baada kifo chake Nani atakua Mrithi wa biashara zake nakadhalika! Sasa wwe unatuambia tu mtu kafa Basi umemaliza!!Salaam
Kwa majonzi makubwa, nimesikitika kupokea kifo cha Mmiliki wa Vituo vya Mafuta vya Ngara Oil.
Ameugua kwa Muda mfupi, leo kakodi ndege kwenda Dar kwa Matibabu zaidi, kifo kikamkuta huko.
Mbele yetu nyuma yake.
Bob Marley neno la Mwisho alomwachia mwanaye ni kwamba hela haiwezi kununua Uhai. Money can buy a life.
Pumzika kwa amani Kamanda.
Vifo vinagusa sana jamii yetu. Omba sana usipate msiba kwako.
View attachment 1694721
Huyo jamaa jina lake hua lina reflect mambo yake nisha mu ignoreNilidhani ulikuwa japo na hekima kidogo.
Kumbe ni wale wale.
Kwako wewe kama wale wapuuzi wenzio ninayarejea rasmi ya mkuu Mshana Jr:
View attachment 1694799
Tafadhali tusitukanane.
Waarabu na waarabu koko watakufa sana,tatizo wanapenda sana kukusanyika na hapo ndo wanaambukizana. To be honest nimeona wagonjwa wengi ni wanaume waarabu na waarabu koko.Salaam
Kwa majonzi makubwa, nimesikitika kupokea kifo cha Mmiliki wa Vituo vya Mafuta vya Ngara Oil.
Ameugua kwa Muda mfupi, leo kakodi ndege kwenda Dar kwa Matibabu zaidi, kifo kikamkuta huko.
Mbele yetu nyuma yake.
Bob Marley neno la Mwisho alomwachia mwanaye ni kwamba hela haiwezi kununua Uhai. Money can not buy a life.
Pumzika kwa amani Kamanda.
Vifo vinagusa sana jamii yetu. Omba sana usipate msiba kwako.
View attachment 1694721
Azuie vifo?Apumzike kwa amani.
Ila kwa vifo hivi Mh. Rais kwa kujua au kutojua kwako unatukwaza sana mheshimiwa.
Kwanini unatufanyia hivi kweri?
Hadi afe nani? Au hadi tufe wangapi?
Unadhani kuficha taarifa kunapunguza ukweli wa vifo? Ushabiki ni upi ambao mleta taarifa ameutonesha? Dhamira ya unafiki na Kiburiii vinawachoma. Just a matter of time, Truth is there to stay!!Mnapenda sana hizi taarifa za misiba sijui mnafurahia ama? So boring
Mnaumiza ndugu jamaa na marafiki kwa ushabiki wenu wa kijinga.
Acheni kufurahia vifo vya wenzenu
Mimi nimeingiaje tena huko?Wapi nimekutukana nyokolist. Unajiumbua kwa ID nyingi nyingi
Ni sehemu gani ameonesha sababu ya Corona?Tatizo mnalazimisha kila kifo kiwe cha corona,mnaumiza ndugu,jamaa na marafiki.
Kwahiyo unasubiri Rais akuambie unawe mikono, uvae barakoa, n.k?Mh. Rais amekuwa akisema hadharani corona haipo wakati ipo.
Moshi mkurugenzi wa halmashauri kaamuru madiwani kuvua barakoa.
Huu ugonjwa unataka mabarakoa, kunawa nawa mikono, social distancing na kuwahami walioko Hatarini zaidi.
Dar wameonyesha njia:
Corona: Dar es Salaam Wananchi wafanya kweli. Hongereni sana
Mabibi na Mabwana hapa ni Dar katika mapambano dhidi ya Corona. Kwa hakika hawa wameonyesha njia kwani hizi ni jitihada binafsi baada ya kutambua ugonjwa huu upo na biashara ni asubuhi. Kama vifaranga vya kuku vile kwa hakika hawa wana chakura kivyao kivyao: Wa mikoa mingine zingatieni...www.jamiiforums.com
Wapi tunapomtaka kutufanyia lolote?
Anatukera kwa sababu hataki kukubali ugonjwa upo. Matokeo yake anadhoofisha juhudi za watu kujilinda na hivyo kutolinda wengine pia.
Hataki kuwahami walioko hatarini.
Kimsingi hataki kujihusisha na huu ugonjwa. Hataki kuwaachia wataalamu wa afya kuongoza vita dhidi ya ugonjwa huu hali yeye si mtalaam wa magonjwa.
Sisi kama walipa kodi kwa misimamo yake hii kwa hakika inatukwaza sana hasa tunapoona watu wakifa kwenye mazingira yaliyowezekana kabisa kuzuilika.
inna lilah ...Salaam
Kwa majonzi makubwa, nimesikitika kupokea kifo cha Mmiliki wa Vituo vya Mafuta vya Ngara Oil...