PreGE2025 Media za Bongo mnatakiwa kujitafakari, masaa manne media inaongelea michezo tu. Tutatoboa kweli?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
5,168
Reaction score
8,982
Kila media utakayoingia utaskia bodi ya ligi na dabi mara hatuchezi mara betting mara ujinga gani sijui.

Hivi kipaumbele chetu kimekuwa michezo?🤔

Jamani hatuna mengine ya kiuchumi kisiasa kijamii ya kuyaongelea zaidi ya michezo?

Ikiwezekana kuwe na udhibiti wa kiasi fulani aisee vinginevo tunaelekea kuwa mazombi kwa staili hii.
 
Mind your own business
 
Anzisha media yako uwe unaongelea Siasa Tu mkuu,Maana lazima uguse Haja za Watu ili upate watu
 
Kuna Hawa Times Fm walikuwa wanavuma sana miaka ya 2000 hadi 2013,baada ya kutolewa kwenye reli tu wameamua kuifanya redio yao ya michezo 24/7.

Yani wewe hata ufungulie redio saa ngapi ni michezo yu especially mpira.

Inasikitisha sana.
 
Kila media utakayoingia utaskia bodi ya ligi na dabi mara hatuchezi mara betting mara ujinga gani sijui.

Hivi kipaumbele chetu kimekuwa michezo?🤔

Jamani hatuna mengine ya kiuchumi kisiasa kijamii ya kuyaongelea zaidi ya michezo?

Ikiwezekana kuwe na udhibiti wa kiasi fulani aisee vinginevo tunaelekea kuwa mazombi kwa staili hii.
Hawa watu sijui huwa wanafikiria nini?Michezo masaa yote hayo?Kuna tatizo kubwa sehemu.
 
Back
Top Bottom