PreGE2025 Media za Bongo mnatakiwa kujitafakari, masaa manne media inaongelea michezo tu. Tutatoboa kweli?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Media ni chombo chenye nguvu kubwa ya kuunda, kuathiri, na kuongoza jamii. Uaminifu na uwajibikaji wa vyombo vya habari ni nafasi ya kipekee katika kujenga siasa safi, uchumi imara, na jamii yenye ustawi.

Haya yanayoendelea kwenye media zetu hasa mambo ya Udaku (Zuchu apewa talaka baada ya Siku 30 za Ndoa n.k) na kutwa kuzungumzia Siasa za Simba na Yanga ndiyo wakubwa wanavyotaka

Na kuendelea kuyapa uzito hayo, tutakuja kula jeuri yetu at our 2050's ama miaka 50 ijayo

Maana tutakuwa tumechagua wenyewe tuwe na jamii ya namna gani
 
Tanzania ukikaa ukifikiria Bora upambane na Hali Yako na ndio maana Mimi Sasa hivi Nina kampeni yangu mtu akisema maisha magumu namuambia mbona maisha yapo freshi tu sababu huwezi kusema maisha magumu halafu Kila siku unafanya kazi na unapata pesa lazima Kwa mtu mwenye akili atafakari hizi pesa napata Kila siku zinaishia kwenye nini jibu ni hivi kama wewe sio mlevi Wala mtu wa kuhonga itafakari serikali yako sio kukaa Kila siku maisha magumu wenzio wanakulimbikizia makodi pesa zako wanazitumia kufanya starehe
 
Tanzania ukikaa ukifikiria Bora upambane na Hali Yako na ndio maana Mimi Sasa hivi Nina kampeni yangu mtu akisema maisha magumu namuambia mbona maisha yapo freshi tu sababu huwezi kusema maisha magumu halafu Kila siku unafanya kazi na unapata pesa lazima Kwa mtu mwenye akili atafakari hizi pesa napata Kila siku zinaishia kwenye nini
Ni sahihi Mkuu, lakini lazima tujue hadi kuikuta Tanzania hivi ilivyo, Kuna Wazee wetu walituwekea Misingi

Sasa jiulize Kwa haya yanayoendelea, tutegemee kuwa na kizazi cha namna gani miaka 50 ijayo

Watu hawataki kufikiri, tunaunda kizazi cha Machawa tu na Vijana wapenda mteremko

Ndiyo maana matendo ya hovyo ni mengi kuliko miaka 30 iliyopita
 
Kila media utakayoingia utaskia bodi ya ligi na dabi mara hatuchezi mara betting mara ujinga gani sijui.

Hivi kipaumbele chetu kimekuwa michezo?🤔

Jamani hatuna mengine ya kiuchumi kisiasa kijamii ya kuyaongelea zaidi ya michezo?

Ikiwezekana kuwe na udhibiti wa kiasi fulani aisee vinginevo tunaelekea kuwa mazombi kwa staili hii.
Tanzania kuna media gani? Ujinga mtupu! Mimi nimebaki najisikilizia zangu RADIO MARIA!
 
Ni sahihi Mkuu, lakini lazima tujue hadi kuikuta Tanzania hivi ilivyo, Kuna Wazee wetu walituwekea Misingi

Sasa jiulize Kwa haya yanayoendelea, tutegemee kuwa na kizazi cha namna gani miaka 50 ijayo

Watu hawataki kufikiri, tunaunda kizazi cha Machawa tu na Vijana wapenda mteremko

Ndiyo maana matendo ya hovyo ni mengi kuliko miaka 30 iliyopita
Misingi Gani umewekewa na wazee wewe hii nchi Haina Cha misingi yoyote uhuru wenyewe wazee waliopewa Kwa mdomo Sasa jiulize Kuna misingi Gani hapo tanzania ni nchi ambayo ukiusifia umasikini ndio unaonekana una akili
 
Ndo unastuka Leo? Michezo ikiisha ni taarabu, vigodoro na umbea/udaku na kusuta mpaka alasiri/jion, baada ya hapo michezo tena wanamalizia na taarifa ya habari,,,, wakitoka hapo ni miziki ama zile love night talk nk, pakikucha michezo tena happy ! 😃

Aliyetuloga amesafiri na hatorudi
 
Kila media utakayoingia utaskia bodi ya ligi na dabi mara hatuchezi mara betting mara ujinga gani sijui.

Hivi kipaumbele chetu kimekuwa michezo?🤔

Jamani hatuna mengine ya kiuchumi kisiasa kijamii ya kuyaongelea zaidi ya michezo?

Ikiwezekana kuwe na udhibiti wa kiasi fulani aisee vinginevo tunaelekea kuwa mazombi kwa staili hii.

Media ni chombo chenye nguvu kubwa ya kuunda, kuathiri, na kuongoza jamii. Uaminifu na uwajibikaji wa vyombo vya habari ni nafasi ya kipekee katika kujenga siasa safi, uchumi imara, na jamii yenye ustawi.

Haya yanayoendelea kwenye media zetu hasa mambo ya Udaku (Zuchu apewa talaka baada ya Siku 30 za Ndoa n.k) na kutwa kuzungumzia Siasa za Simba na Yanga ndiyo wakubwa wanavyotaka

Na kuendelea kuyapa uzito hayo, tutakuja kula jeuri yetu at our 2050's ama miaka 50 ijayo

Maana tutakuwa tumechagua wenyewe tuwe na jamii ya namna gani
Wana mambo ya kijinga sana,hawaoni miradi mikubwa,hawaoni kazi mama anazopiga
 
umesema vema mkubwa
 
Karne hii ya information at your fingertips unalalamika kupata habari unayoitaka ? Sasa hivi ni News of Demand wewe ukitaka news yoyote unaipata hapohapo by the way siwezi laumu media nalaumu wanasiasa Ukasongo wao na siasa zao za majitaka hadi kutokuwa kivutio kwa watu kusikia (bora hizo derby watu waende kupunguza stress)

Ukitaka kujua kuna msiba mzito kwenye tasnia hii ni kitendo cha akina Balile kujitwisha ujinga wa kuita Samia Kalamu Award ni ujinga sana ule. 95% ya walishinda tunzo zile hawana elimu ya juu, wengi ni certificates tu. Jiulize mtu kama Eddo Kumwembe nae ni Mwandishi hana hata cheti cha Uandushi lakini ndio kinara wa kutangaza habari za michezo hapa nchini, Baruani Muhuza hana shule ya utangazaji ujanja mwingi nae eti ni kioo cha jamii. TISS wanatukosea sana Watanganyika kwa kuharibu mfumo wa maisha ili kuipendezesha CCM.
 
Misingi Gani umewekewa na wazee wewe hii nchi Haina Cha misingi yoyote uhuru wenyewe wazee waliopewa Kwa mdomo Sasa jiulize Kuna misingi Gani hapo tanzania ni nchi ambayo ukiusifia umasikini ndio unaonekana una akili
Kila tawala zilikuwa na changamoto zake, lakini tawala za baada ya Mkapa nimezalisha Viongozi wengi wasio na haya katika kuliingiza Taifa kwenye Madeni/Wizi na Ufisadi
 
Wana mambo ya kijinga sana,hawaoni miradi mikubwa,hawaoni kazi mama anazopiga
Media ni jiko, kwahiyo tukipikiwa Wali na Maharage basi sote tutula hicho

Kuna changamoto sana kwenye media za Tanzania
 
Back
Top Bottom