Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,614
- 9,689
Media za bongo nazo Ni media sasa?
Milard ayo aendelee tu kuwahoji kina Jesca
Milard ayo aendelee tu kuwahoji kina Jesca
Story za netanyahu na Hamas ye zitamsaidia nini?Ni hatari,kijana hajuwi story nyingine tofauti na azizi k na Hamisa.
Kwa hali ilivyo, watakaobahatika kuwa hai 2070 watakuja kuwa mashahidiumesema vema mkubwa
Mnataka vipindi vya RTD?Media ni jiko, kwahiyo tukipikiwa Wali na Maharage basi sote tutula hicho
Kuna changamoto sana kwenye media za Tanzania
wew umeona habar ni mipasho udaku umbea na simba na yanga tu?Mnataka vipindi vya RTD?
Taarifa ya habari
Mazungumzo baada ya habari
Mama na mwana
Majira
Salamu kwa wagonjwa
Siasa ni kilimo
Africa Kuna ujinga mmoja akitokea kiongozi mzalendo Naye anapingwa na kuuwawa hivyo ni Bora Kila mtu achague njia yake ya kuweza kutoboa hapa duniani kuliko kuchagua kufia wengine wapate starehe wakati wewe hujawahi kupata starehe fikiria Leo hii hii kampeni ya No reform No election Kuna mijitu inapinga lingine hata shilingi mil 1 kwenye account zake hamna linaishi maisha ha kifukara na ni namba Moja kulalamika maisha magumu mtaani Yaani ilimradi tu jitu lipinge kama ushabiki wa mpira ndio ujue Africa akili hamnaKila tawala zilikuwa na changamoto zake, lakini tawala za baada ya Mkapa nimezalisha Viongozi wengi wasio na haya katika kuliingiza Taifa kwenye Madeni/Wizi na Ufisadi
Hizo redio ni biashara we ***,watu waongelee kilimo na siasa kutwa nzima mishahara utalipa wewe?wew umeona habar ni mipasho udaku umbea na simba na yanga tu?
Jinga kabisa (kwa sauti ya TAL)
Wewe ni lofa. Hujui michezo imeajili watanzania wangapi? Unaidunisha michezo? Mbona kuna manyumbu yamekuwa auto set kutuma slogan muda wote.Kila media utakayoingia utaskia bodi ya ligi na dabi mara hatuchezi mara betting mara ujinga gani sijui.
Hivi kipaumbele chetu kimekuwa michezo?🤔
Jamani hatuna mengine ya kiuchumi kisiasa kijamii ya kuyaongelea zaidi ya michezo?
Ikiwezekana kuwe na udhibiti wa kiasi fulani aisee vinginevo tunaelekea kuwa mazombi kwa staili hii.
Ona akili ya kuvukia barabara hii.Hizo redio ni biashara we ***,watu waongelee kilimo na siasa kutwa nzima mishahara utalipa wewe?
akili na jina lako vinafananaWewe ni lofa. Hujui michezo imeajili watanzania wangapi? Unaidunisha michezo? Mbona kuna manyumbu yamekuwa auto set kutuma slogan muda wote.
Sasa na wewe si ufungue media hayo mass manne uongelee hayo ambayo unaona hawaongei? Au huoni fursa ya biashara hiyo🤣🤣🤣🤣Kila media utakayoingia utaskia bodi ya ligi na dabi mara hatuchezi mara betting mara ujinga gani sijui.
Hivi kipaumbele chetu kimekuwa michezo?🤔
Jamani hatuna mengine ya kiuchumi kisiasa kijamii ya kuyaongelea zaidi ya michezo?
Ikiwezekana kuwe na udhibiti wa kiasi fulani aisee vinginevo tunaelekea kuwa mazombi kwa staili hii.
Mkuu usiangaike na hayo manyumbu yamekuwa programmed.Hizo redio ni biashara we ***,watu waongelee kilimo na siasa kutwa nzima mishahara utalipa wewe?
Kufungua redio si ghali, fungua tu mkuu uweke program utakazoOna akili ya kuvukia barabara hii.
Takataka kabisa wew🚮🚮
Hazimsaidii kitu ila wanazinguwa sana.Story za netanyahu na Hamas ye zitamsaidia nini?
Yote haya ni matokeo ya kuongozwa na zero brain (hiyo zero isome kwa sauti ya Magufuli, yaani uisome kwa kiswahili). Kila kinachozungumzwa mtu zero brain anahisi anachambwa yeye!Media hazina shida yoyote. Tatizo mamlaka zilizo juu ya media. Ukileta ishu serious lazima ukutane na kibano.
Magufuli ndo mwanzilishi wa ushenzi wote unaoendelea.Yote haya ni matokeo ya kuongozwa na zero brain (hiyo zero isome kwa sauti ya Magufuli, yaani uisome kwa kiswahili). Kila kinachozungumzwa mtu zero brain anahisi anachambwa yeye!
Sasa hii zero brain si ingerekebisha?Magufuli ndo mwanzilishi wa ushenzi wote unaoendelea.