Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,982
Mind your own businessKila media utakayoingia utaskia bodi ya ligi na dabi mara hatuchezi mara betting mara ujinga gani sijui.
Hivi kipaumbele chetu kimekuwa michezo?🤔
Jamani hatuna mengine ya kiuchumi kisiasa kijamii ya kuyaongelea zaidi ya michezo?
Ikiwezekana kuwe na udhibiti wa kiasi fulani aisee vinginevo tunaelekea kuwa mazombi kwa staili hii.
Anzisha media yako uwe unaongelea Siasa Tu mkuu,Maana lazima uguse Haja za Watu ili upate watuKila media utakayoingia utaskia bodi ya ligi na dabi mara hatuchezi mara betting mara ujinga gani sijui.
Hivi kipaumbele chetu kimekuwa michezo?🤔
Jamani hatuna mengine ya kiuchumi kisiasa kijamii ya kuyaongelea zaidi ya michezo?
Ikiwezekana kuwe na udhibiti wa kiasi fulani aisee vinginevo tunaelekea kuwa mazombi kwa staili hii.
Hawa watu sijui huwa wanafikiria nini?Michezo masaa yote hayo?Kuna tatizo kubwa sehemu.Kila media utakayoingia utaskia bodi ya ligi na dabi mara hatuchezi mara betting mara ujinga gani sijui.
Hivi kipaumbele chetu kimekuwa michezo?🤔
Jamani hatuna mengine ya kiuchumi kisiasa kijamii ya kuyaongelea zaidi ya michezo?
Ikiwezekana kuwe na udhibiti wa kiasi fulani aisee vinginevo tunaelekea kuwa mazombi kwa staili hii.
sio mitaani tu mkuu hata sehem za kaziPita sasa mtaani asubuhi hasa hasa kama moja ya hizi timu za Kariakoo zimecheza jana yake. Ni huzuni.