Tanzania ukikaa ukifikiria Bora upambane na Hali Yako na ndio maana Mimi Sasa hivi Nina kampeni yangu mtu akisema maisha magumu namuambia mbona maisha yapo freshi tu sababu huwezi kusema maisha magumu halafu Kila siku unafanya kazi na unapata pesa lazima Kwa mtu mwenye akili atafakari hizi pesa napata Kila siku zinaishia kwenye nini jibu ni hivi kama wewe sio mlevi Wala mtu wa kuhonga itafakari serikali yako sio kukaa Kila siku maisha magumu wenzio wanakulimbikizia makodi pesa zako wanazitumia kufanya stareheMedia ni chombo chenye nguvu kubwa ya kuunda, kuathiri, na kuongoza jamii. Uaminifu na uwajibikaji wa vyombo vya habari ni nafasi ya kipekee katika kujenga siasa safi, uchumi imara, na jamii yenye ustawi.
Haya yanayoendelea kwenye media zetu hasa mambo ya Udaku (Zuchu apewa talaka baada ya Siku 30 za Ndoa n.k) na kutwa kuzungumzia Siasa za Simba na Yanga ndiyo wakubwa wanavyotaka
Na kuendelea kuyapa uzito hayo, tutakuja kula jeuri yetu at our 2050's ama miaka 50 ijayo
Maana tutakuwa tumechagua wenyewe tuwe na jamii ya namna gani
Ni sahihi Mkuu, lakini lazima tujue hadi kuikuta Tanzania hivi ilivyo, Kuna Wazee wetu walituwekea MisingiTanzania ukikaa ukifikiria Bora upambane na Hali Yako na ndio maana Mimi Sasa hivi Nina kampeni yangu mtu akisema maisha magumu namuambia mbona maisha yapo freshi tu sababu huwezi kusema maisha magumu halafu Kila siku unafanya kazi na unapata pesa lazima Kwa mtu mwenye akili atafakari hizi pesa napata Kila siku zinaishia kwenye nini
Tanzania kuna media gani? Ujinga mtupu! Mimi nimebaki najisikilizia zangu RADIO MARIA!Kila media utakayoingia utaskia bodi ya ligi na dabi mara hatuchezi mara betting mara ujinga gani sijui.
Hivi kipaumbele chetu kimekuwa michezo?🤔
Jamani hatuna mengine ya kiuchumi kisiasa kijamii ya kuyaongelea zaidi ya michezo?
Ikiwezekana kuwe na udhibiti wa kiasi fulani aisee vinginevo tunaelekea kuwa mazombi kwa staili hii.
Misingi Gani umewekewa na wazee wewe hii nchi Haina Cha misingi yoyote uhuru wenyewe wazee waliopewa Kwa mdomo Sasa jiulize Kuna misingi Gani hapo tanzania ni nchi ambayo ukiusifia umasikini ndio unaonekana una akiliNi sahihi Mkuu, lakini lazima tujue hadi kuikuta Tanzania hivi ilivyo, Kuna Wazee wetu walituwekea Misingi
Sasa jiulize Kwa haya yanayoendelea, tutegemee kuwa na kizazi cha namna gani miaka 50 ijayo
Watu hawataki kufikiri, tunaunda kizazi cha Machawa tu na Vijana wapenda mteremko
Ndiyo maana matendo ya hovyo ni mengi kuliko miaka 30 iliyopita
Kila media utakayoingia utaskia bodi ya ligi na dabi mara hatuchezi mara betting mara ujinga gani sijui.
Hivi kipaumbele chetu kimekuwa michezo?🤔
Jamani hatuna mengine ya kiuchumi kisiasa kijamii ya kuyaongelea zaidi ya michezo?
Ikiwezekana kuwe na udhibiti wa kiasi fulani aisee vinginevo tunaelekea kuwa mazombi kwa staili hii.
Wana mambo ya kijinga sana,hawaoni miradi mikubwa,hawaoni kazi mama anazopigaMedia ni chombo chenye nguvu kubwa ya kuunda, kuathiri, na kuongoza jamii. Uaminifu na uwajibikaji wa vyombo vya habari ni nafasi ya kipekee katika kujenga siasa safi, uchumi imara, na jamii yenye ustawi.
Haya yanayoendelea kwenye media zetu hasa mambo ya Udaku (Zuchu apewa talaka baada ya Siku 30 za Ndoa n.k) na kutwa kuzungumzia Siasa za Simba na Yanga ndiyo wakubwa wanavyotaka
Na kuendelea kuyapa uzito hayo, tutakuja kula jeuri yetu at our 2050's ama miaka 50 ijayo
Maana tutakuwa tumechagua wenyewe tuwe na jamii ya namna gani
umesema vema mkubwaMedia ni chombo chenye nguvu kubwa ya kuunda, kuathiri, na kuongoza jamii. Uaminifu na uwajibikaji wa vyombo vya habari ni nafasi ya kipekee katika kujenga siasa safi, uchumi imara, na jamii yenye ustawi.
Haya yanayoendelea kwenye media zetu hasa mambo ya Udaku (Zuchu apewa talaka baada ya Siku 30 za Ndoa n.k) na kutwa kuzungumzia Siasa za Simba na Yanga ndiyo wakubwa wanavyotaka
Na kuendelea kuyapa uzito hayo, tutakuja kula jeuri yetu at our 2050's ama miaka 50 ijayo
Maana tutakuwa tumechagua wenyewe tuwe na jamii ya namna gani
No reform no election 🇹🇿🇹🇿🇹🇿fungueni media zenu muhubiri no reform no election.
Mfumo wa wapi huo?Mfumo ndiyo unataka hivyo
Ova
Hoja Bora ya bandiko. Ukiwa vyumba vya habari utaelewa hili.Mfumo ndiyo unataka hivyo
Ova
Mimi naamini kwenye mpira huko hakuna hofu ya kutekwa au kufanyiwa matendo mabaya ya kihayawani!(bora hizo derby watu waende kupunguza stress)
Sio Watanzania tu.Tatizo sio media, tatizo ni walaji. Wakikosa wasikilizaji, wataadjust. Watanzania wengi tunapenda udaku, mpira, muziki na story za wasanii na waigizaji.
Kila tawala zilikuwa na changamoto zake, lakini tawala za baada ya Mkapa nimezalisha Viongozi wengi wasio na haya katika kuliingiza Taifa kwenye Madeni/Wizi na UfisadiMisingi Gani umewekewa na wazee wewe hii nchi Haina Cha misingi yoyote uhuru wenyewe wazee waliopewa Kwa mdomo Sasa jiulize Kuna misingi Gani hapo tanzania ni nchi ambayo ukiusifia umasikini ndio unaonekana una akili
Media ni jiko, kwahiyo tukipikiwa Wali na Maharage basi sote tutula hichoWana mambo ya kijinga sana,hawaoni miradi mikubwa,hawaoni kazi mama anazopiga