PreGE2025 Media za Bongo mnatakiwa kujitafakari, masaa manne media inaongelea michezo tu. Tutatoboa kweli?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
=×÷%£#@&¡¿◇??
 
media ziko kwa ajili ya ku destroy tu,sema ndiyo maagizo
Wanapewa

Mimi siwezi nkakaa nkawasikiliza wasafi...sjui nmsikie millard na hivyo vi media vingine

Ova
 
media ziko kwa ajili ya ku destroy tu,sema ndiyo maagizo
Wanapewa
shida ingine inaweza kuwa kwenye upatikanaji na gharama kubwa za watangazaji wenye viwango na upeo wa kuongea mambo ya akili kubwa ni changamoto.

wanatafuta watu wepesi wa bei rahisi wa kuongelea mipira mipasho na mambo ya mapenzi na umbea
 
Pita sasa mtaani asubuhi hasa hasa kama moja ya hizi timu za Kariakoo zimecheza jana yake. Ni huzuni.
Kama nawe unakiri mitaani kote vijana wanazungumzia habari za mipira, ulitaka media zifanyeje? Kumbuza nazo zipo kibiashara. Siku zote biashara inaangalia lilipo soko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…