Media za Bongo na muendelezo wa Copy & Paste

Media za Bongo na muendelezo wa Copy & Paste

Show Buzz hiyo nayo Copy and paste kutoka EATV mtangazaji alikwa Dominic Nyalifa.

XXL Copy and paste Radio One jina la kipindi nimelisahau ila mtangazaji alikuwa Aboubakar Sadiki.

Mashamsham na Leo tena tofauti,Mashamsham ni kipindi spesho cha taarabu,ila Leo tena ni kipindi kimekaa kijamii zaidi yaani mwanaume,watoto,mwanamke wote wanaweza sikiliza.

After skul Bash ni copy and paste ya Likizo Tyme ya Majizo.
Sawa sawa
 
Hapa swala sio copy and paste..hapo ni unajarbu tu kuweka league

Kuna vitu ni common..kinachotakiwa ni uboreshaj tu.

Kwani radio ngapi zina top 10 au top 20? Kwaiyo hapo tuseme nazo ni copy n paste?

Vipindi vya taarabu nazo ni copy n paste? Vipo vingap hpa Tanzania?

Swala ni uboreshaji tu na ubunifu kwa vipind hivyo hivyo vilivyopo

Kwaiyo kisa kuna peps,hutak Coca-Cola iwepo?

Ndiomana kuna matamasha vile vile...kila mmoja ana uboreshaji wake...

Anyways mkuu msalmie diva hapo mjengon

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna anae weka League, Ukweli usemwe. Malkia wa Nguvu vs Super woman vs Mwanamke Kinara ni League hiyo
 
Show Buzz hiyo nayo Copy and paste kutoka EATV mtangazaji alikwa Dominic Nyalifa.

XXL Copy and paste Radio One jina la kipindi nimelisahau ila mtangazaji alikuwa Aboubakar Sadiki.

Mashamsham na Leo tena tofauti,Mashamsham ni kipindi spesho cha taarabu,ila Leo tena ni kipindi kimekaa kijamii zaidi yaani mwanaume,watoto,mwanamke wote wanaweza sikiliza.

After skul Bash ni copy and paste ya Likizo Tyme ya Majizo.
Kichwa Cha habari Cha huu Uzi uliktakiwa uwe"wasafi acheni kuiga undeni vya kwenu" ..maana huu Uzi wasafi ndiyo wameonekana waigaji maarufu mleta mada amesahau hata hao mawingu pia waliiga baadhi ya vipindi kwenye media nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kichwa Cha habari Cha huu Uzi uliktakiwa uwe"wasafi acheni kuiga undeni vya kwenu" ..maana huu Uzi wasafi ndiyo wameonekana waigaji maarufu mleta mada amesahau hata hao mawingu pia waliiga baadhi ya vipindi kwenye media nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Suala linalozungumzwa hapa ni Kutoumiza kichwa kuwa mbunifu, haijalishi ni Wasafi, Mawingu, Times, Magic au Efm
 
Kichwa Cha habari na ulichoandika havifanani katika muktadha wa content Me naona hata huyo Clouds ni mwizi kaiga kwa radio free Africa na East Africa vipindi vingi na nyingine kaiga marekani especially kipindi Cha breakfast copy & pest.Cha msingi hapo kila media wafanye kwa ubora wake.
 
Mbona me naona media zote zinaiga clouds mwizi east Africa mwizi Wasafi mwizi.Hapo Cha msingi kila mtu apambane na Hali yake
kila mtu aje kivyake tusikie vipya masikio, macho yanaona na kusikiliza yale yale
 
Kichwa Cha habari na ulichoandika havifanani katika muktadha wa content Me naona hata huyo clouds ni mwizi kaiga kwa radio free Africa na East Africa vipindi vingi na nyingine kaiga marekani especially kipindi Cha breakfast copy & pest.Cha msingi hapo kila media wafanye kwa ubora wake
Break fast Club ya marekani na wao wana peruzi na kudadisi? na wao wana ripoti ya Bonge? Lile ni jina tu, RFA Kaiga kipindi gani? Sito sahau na Njia panda ni vitu viwili tofauti
 
Back
Top Bottom