hahahahaha nayo wataiga..?Wanacopy sana idea za clouds!!
haya mbwiga kaja na sodo cup, mpira unachezwa kwenye kiwanja katikati kuna mnazi, hakuna kuvaa viatu! Waganga ruksa wanavunja mayai uwanjani [emoji23][emoji23][emoji23] hakuna offside
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa sawaShow Buzz hiyo nayo Copy and paste kutoka EATV mtangazaji alikwa Dominic Nyalifa.
XXL Copy and paste Radio One jina la kipindi nimelisahau ila mtangazaji alikuwa Aboubakar Sadiki.
Mashamsham na Leo tena tofauti,Mashamsham ni kipindi spesho cha taarabu,ila Leo tena ni kipindi kimekaa kijamii zaidi yaani mwanaume,watoto,mwanamke wote wanaweza sikiliza.
After skul Bash ni copy and paste ya Likizo Tyme ya Majizo.
Uchawi na unafiki wao waachie wenyewe..St.cocasticWasafi wasipoiga watafanya Nini? Wao wanachojua ni unafiki na uchawi damuni, lol mweeeeeeeeeeeh.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna anae weka League, Ukweli usemwe. Malkia wa Nguvu vs Super woman vs Mwanamke Kinara ni League hiyoHapa swala sio copy and paste..hapo ni unajarbu tu kuweka league
Kuna vitu ni common..kinachotakiwa ni uboreshaj tu.
Kwani radio ngapi zina top 10 au top 20? Kwaiyo hapo tuseme nazo ni copy n paste?
Vipindi vya taarabu nazo ni copy n paste? Vipo vingap hpa Tanzania?
Swala ni uboreshaji tu na ubunifu kwa vipind hivyo hivyo vilivyopo
Kwaiyo kisa kuna peps,hutak Coca-Cola iwepo?
Ndiomana kuna matamasha vile vile...kila mmoja ana uboreshaji wake...
Anyways mkuu msalmie diva hapo mjengon
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Uchawi tena DuuhhhWasafi wasipoiga watafanya Nini? Wao wanachojua ni unafiki na uchawi damuni, lol mweeeeeeeeeeeh.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kichwa Cha habari Cha huu Uzi uliktakiwa uwe"wasafi acheni kuiga undeni vya kwenu" ..maana huu Uzi wasafi ndiyo wameonekana waigaji maarufu mleta mada amesahau hata hao mawingu pia waliiga baadhi ya vipindi kwenye media nyingine.Show Buzz hiyo nayo Copy and paste kutoka EATV mtangazaji alikwa Dominic Nyalifa.
XXL Copy and paste Radio One jina la kipindi nimelisahau ila mtangazaji alikuwa Aboubakar Sadiki.
Mashamsham na Leo tena tofauti,Mashamsham ni kipindi spesho cha taarabu,ila Leo tena ni kipindi kimekaa kijamii zaidi yaani mwanaume,watoto,mwanamke wote wanaweza sikiliza.
After skul Bash ni copy and paste ya Likizo Tyme ya Majizo.
Jina linakuwa tofauti ila Maudhui ni yale yale, Mkasi na Bar Tender tofauti ni Location tu na baadhi ya vitu ila Idea ni ile ileAnachomaanisha mtendaji nadhanj ni kwamba jina la kipindi ni lingine lakini utendaji unakua na wa kuiga uleule
Sent using Jamii Forums mobile app
Suala linalozungumzwa hapa ni Kutoumiza kichwa kuwa mbunifu, haijalishi ni Wasafi, Mawingu, Times, Magic au EfmKichwa Cha habari Cha huu Uzi uliktakiwa uwe"wasafi acheni kuiga undeni vya kwenu" ..maana huu Uzi wasafi ndiyo wameonekana waigaji maarufu mleta mada amesahau hata hao mawingu pia waliiga baadhi ya vipindi kwenye media nyingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Team Alikiba ndio kitu gani hiko?Hakuna kilichopo kipya zaidi ya ubunifu Tu, hayo yote yalishafanyika miaka ya nyuma. Tulia wewe team alikiba
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona me naona media zote zinaiga clouds mwizi east Africa mwizi Wasafi mwizi.Hapo Cha msingi kila mtu apambane na Hali yakechini ya jua
Hakuna anae weka League, Ukweli usemwe..
Malkia wa Nguvu vs Super woman vs Mwanamke Kinara ni League hiyo
Na usailiti juu ukiongozwa na yuda wa kike muuza vitenge, uwiiiiiiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na Uchawi tena Duuhhh
Break fast Club ya marekani na wao wana peruzi na kudadisi? na wao wana ripoti ya Bonge? Lile ni jina tu, RFA Kaiga kipindi gani? Sito sahau na Njia panda ni vitu viwili tofautiKichwa Cha habari na ulichoandika havifanani katika muktadha wa content Me naona hata huyo clouds ni mwizi kaiga kwa radio free Africa na East Africa vipindi vingi na nyingine kaiga marekani especially kipindi Cha breakfast copy & pest.Cha msingi hapo kila media wafanye kwa ubora wake
Lol..Na usailiti juu ukiongozwa na yuda wa kike muuza vitenge, uwiiiiiiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app