Idea ipi hiyo ya thread yako wamekopi na sie tujue na waliocopy ni wakina Nani?Mimi huwa nasikiliza TBC siwezi kupoteza mda wangu kumsikiliza MTU ambaye hana hata Diploma ya Journalism au Mass Com.
Kwanza hawana Content juzi kuna radio wali copy thread yng hapa JF ikawa ndio topic of the day watu wakawa wanapiga simu kuchangia idea ya thread yng nikatamani niwafungulie Kesi sema nilikosa mwanasheria.
Kumbe Jf nao wanapitaga wale wa media😀 😀
Hiyo ni media ya serikali na sio binafsi sisi tunazungumzia hizi binafsi.
Hili la kuigana sauti linaboa sanaWatangazaji wanaigana sauti , ukisiliza huyu ni kama yule vurugu tupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanamsifu magufuli tu hakuna linginelo. Kula kitu hata muziki utasikia serikali ya awam ya tano imefanya hivi.
Unataka wamsifu babu yako? Ww MTU ndio anawafanya watoto wao njia ya choo isiote nyasi utaacha kumsifu??wanamsifu magufuli tu hakuna linginelo
kula kitu hata muziki utasikia serikali ya awam ya tano imefanya hv
Kwan Ruge ndiye mwanzilishi wa hv vpindi?Cha kushangaza wote hakuna anayekiri kuwa amekuwa inspired na Ruge.
Unafiki ndani ya damu.
Unachonionesha ni kwamba mchicha maharage, nyama zote ni mboga zinazofanana kwa sababu zinatumika kulia ugali ni vpindi vtatu vyenye content tofauti.EA Radio - The Cruise,
Clouds Fm - Amplifaya
Wasafi Fm - Block 89.
Hivyo vipindi [emoji3516]moja ni baba, mbili ni mama na tatu ni mtoto.
Unforgetable
hizi idea sio za clouds jaman ila mnawaona wao kwa sababu ndo radio mlizokua mkizijua ila zilikuwepo kablaWanacopy sana idea za clouds!!
haya mbwiga kaja na sodo cup, mpira unachezwa kwenye kiwanja katikati kuna mnazi, hakuna kuvaa viatu! Waganga ruksa wanavunja mayai uwanjani [emoji23][emoji23][emoji23] hakuna offside
Sent using Jamii Forums mobile app
Amezungumziwa shabiki wa alikiba sio alikibaHapa ndipo wabongo tunapofeli, alikiba kaingiaje hapo? Au alikiba ndio mmiliki wa clouds?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjadala uoshie hapa, umemaliza hao wengine wanabwabwaja tuHapa swala sio copy and paste..hapo ni unajarbu tu kuweka league
Kuna vitu ni common..kinachotakiwa ni uboreshaj tu...
Kwani radio ngapi zina top 10 au top 20? Kwaiyo hapo tuseme nazo ni copy n paste?
Vipindi vya taarabu nazo ni copy n paste? Vipo vingap hpa Tanzania?
Swala ni uboreshaji tu na ubunifu kwa vipind hivyo hivyo vilivyopo
Kwaiyo kisa kuna peps,hutak Coca-Cola iwepo?
Ndiomana kuna matamasha vile vile...kila mmoja ana uboreshaji wake...
Anyways mkuu msalmie diva hapo mjengon
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjadala uishie hapa, umemaliza hao wengine wanabwabwaja tuHapa swala sio copy and paste..hapo ni unajarbu tu kuweka league
Kuna vitu ni common..kinachotakiwa ni uboreshaj tu.
Kwani radio ngapi zina top 10 au top 20? Kwaiyo hapo tuseme nazo ni copy n paste?
Vipindi vya taarabu nazo ni copy n paste? Vipo vingap hpa Tanzania?
Swala ni uboreshaji tu na ubunifu kwa vipind hivyo hivyo vilivyopo
Kwaiyo kisa kuna peps,hutak Coca-Cola iwepo?
Ndiomana kuna matamasha vile vile...kila mmoja ana uboreshaji wake...
Anyways mkuu msalmie diva hapo mjengon
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaewnda na wakato unasikiliza nini?
Huyo jamaa anajikuta nan cjui yan kusikiliza Radio ye anaona jambo la kupitwa na wakati. ..? Wakati kila cku Radio zinafunguliwa in world wide. Me najiona mjanja kuliko yeyote coz nasikiliza radio international hadi za marekani sa cjui ye anapata wapi nguvu kusema radio zmepitwa na wakati.Hahahahahah unaumia sana mimi kufatilia redio..? hahahahaha pole asee