Media za Bongo na muendelezo wa Copy & Paste

Media za Bongo na muendelezo wa Copy & Paste

Mimi huwa nasikiliza TBC siwezi kupoteza mda wangu kumsikiliza MTU ambaye hana hata Diploma ya Journalism au Mass Com.
Kwanza hawana Content juzi kuna radio wali copy thread yng hapa JF ikawa ndio topic of the day watu wakawa wanapiga simu kuchangia idea ya thread yng nikatamani niwafungulie Kesi sema nilikosa mwanasheria.
Kumbe Jf nao wanapitaga wale wa media😀 😀
Idea ipi hiyo ya thread yako wamekopi na sie tujue na waliocopy ni wakina Nani?
 
Kuna watangazaji kama wamehama na kipindi chao wamehamia Wachafu Fm wote ,juzi wakati natafuta tafuta masafa ya redio nikasikia sauti ya mtangazaji mmoja wa kike na wale wenzake nikajua nipo ile redio nacheki frequence nakuta 88.9 Wachafu Fm ,nikamkazia macho wife nkajua kabadilisha redio bado kidogo nimkate Kofi la uso,maana huwa anachezaga hako ka mchezo ,akikuuliza swali ukijifanya upo busy na kusikiliza radio anabadili frequency. 😀 😀 😀 😀 😀
 
EA Radio - The Cruise,
Clouds Fm - Amplifaya
Wasafi Fm - Block 89
.

Hivyo vipindi [emoji3516]moja ni baba, mbili ni mama na tatu ni mtoto.

Unforgetable
Unachonionesha ni kwamba mchicha maharage, nyama zote ni mboga zinazofanana kwa sababu zinatumika kulia ugali ni vpindi vtatu vyenye content tofauti.

Cruise inazungumzia mambo ya nje ya Tanzani zaidi. Amplifier inatoa habari mbali mbali za burudani, michezo, siasa technology na mengine meeengi. Block cjawai isikiliza ila naamin ni tofauti
 
Wanacopy sana idea za clouds!!

haya mbwiga kaja na sodo cup, mpira unachezwa kwenye kiwanja katikati kuna mnazi, hakuna kuvaa viatu! Waganga ruksa wanavunja mayai uwanjani [emoji23][emoji23][emoji23] hakuna offside

Sent using Jamii Forums mobile app
hizi idea sio za clouds jaman ila mnawaona wao kwa sababu ndo radio mlizokua mkizijua ila zilikuwepo kabla
 
Hapa swala sio copy and paste..hapo ni unajarbu tu kuweka league

Kuna vitu ni common..kinachotakiwa ni uboreshaj tu...

Kwani radio ngapi zina top 10 au top 20? Kwaiyo hapo tuseme nazo ni copy n paste?

Vipindi vya taarabu nazo ni copy n paste? Vipo vingap hpa Tanzania?

Swala ni uboreshaji tu na ubunifu kwa vipind hivyo hivyo vilivyopo

Kwaiyo kisa kuna peps,hutak Coca-Cola iwepo?

Ndiomana kuna matamasha vile vile...kila mmoja ana uboreshaji wake...

Anyways mkuu msalmie diva hapo mjengon

Sent using Jamii Forums mobile app
Mjadala uoshie hapa, umemaliza hao wengine wanabwabwaja tu
 
Hapa swala sio copy and paste..hapo ni unajarbu tu kuweka league

Kuna vitu ni common..kinachotakiwa ni uboreshaj tu.

Kwani radio ngapi zina top 10 au top 20? Kwaiyo hapo tuseme nazo ni copy n paste?

Vipindi vya taarabu nazo ni copy n paste? Vipo vingap hpa Tanzania?

Swala ni uboreshaji tu na ubunifu kwa vipind hivyo hivyo vilivyopo

Kwaiyo kisa kuna peps,hutak Coca-Cola iwepo?

Ndiomana kuna matamasha vile vile...kila mmoja ana uboreshaji wake...

Anyways mkuu msalmie diva hapo mjengon

Sent using Jamii Forums mobile app
Mjadala uishie hapa, umemaliza hao wengine wanabwabwaja tu
 
Hahahahahah unaumia sana mimi kufatilia redio..? hahahahaha pole asee
Huyo jamaa anajikuta nan cjui yan kusikiliza Radio ye anaona jambo la kupitwa na wakati. ..? Wakati kila cku Radio zinafunguliwa in world wide. Me najiona mjanja kuliko yeyote coz nasikiliza radio international hadi za marekani sa cjui ye anapata wapi nguvu kusema radio zmepitwa na wakati.

Sometimes we have to leave our life usitake wote tufanye unalotaka.
 
Nyie ni mbuzi kweli ivyo vipindi mnavyo sema mawingu fm wame copiwa mbna wao wame vi copy USA. Kwenye tv shows na kuvi badili kidgo tu the same to wasafi wame chukua idea na kubadili kidgo what's wrong with that. Tafuteni kazi stress mbaya sana mta kufa [emoji81][emoji81][emoji81]

Ila sema kuna ka ukweli kidgo wasafi ubunifu ni zero. Story za kijinga .zina wahusu wao tu kila mtu atakae hojiwa lazima aulizwe kitu cha kumzungumzia boss wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kuna kitu wasafi ni uteuz wa rangi za logo yao. Ndo imeifanya maarufu kuliko redio nyingine za hivi karibuni
 
Back
Top Bottom