Media za Bongo na muendelezo wa Copy & Paste

Hivinajiuliza hawa wasafi wameshindwa kuwa creative? Mbna kila kipindi au mradi wanakopi? Kuanzia kivumbi cup-ndondo cup Block 89-fnl, Wasafi festival-fiesta, Superwoman-malkia wa nguvu, Sports arena-e sports
Refresh-e news/clouds e

Ifike pahala waache huu upuuzi, wanaboa kiukweli. Hata tv yao hawana vipindi creative na endelevu, vinaanza na kuishia njiani. Tv haina kipind kinachoeleweka muda wote ni muziki tena wa kurudia rudia, boss wao akifanya besdei wako live sijui nan kafanya nini wako live hawana msimamo kwa kweli yaan vurugu mechi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua tatizo wamekopy wasafi mbona wamekopi wengi.

Clouds e na Social Buzz-Wamekopi EATV kipindi alikuwa anatangaza Dominic Nyalifa. XXL-Wamekopi Radio One kipindi hiko mtangazaji Aboubakar Sadiq. After Skul Bash-Wamekopi Likizo Tyme ya Majizo.

Asikudanganye mtu kwa upande wa kuandaa vipindi vya TV vya burudani vijana EATV hawana mpinzani, TV nyingi wamekopi toka kwao.Ukija redio One 80% ya radio zite TZ wamechukua vionjo vingi kutoka kwao.

Sasa kwani kuna ubaya gani mbona ukisikiliza mtiririko wa redio nyingi wamekopi na kupaste,ila umewaona Wasafi.

Ila si shangai kuna watu wanaumizwa namafanikio ya mda mfupi waliyoyapata Wasafi Media,kwani ukizungumzia radio tatu zinazofanya vizuri Dar lazima Wasafi ipo na upande wa streaming Youtube wanaongoza.
 
Najua tatizo wamekopy wasafi mbona wamekopi wengi.

Clouds e na Social Buzz-Wamekopi EATV kipindi alikuwa anatangaza Dominic Nyalifa.
XXL-Wamekopi Radio One kipindi hiko mtangazaji Aboubakar Sadiq.
After Skul Bash-Wamekopi Likizo Tyme ya Majizo.

Asikudanganye mtu kwa upande wa kuandaa vipindi vya TV vya burudani vijana EATV hawana mpinzani,TV nyingi wamekopi toka kwao.Ukija redio One 80% ya radio zite TZ wamechukua vionjo vingi kutoka kwao.

Kaa kwenye point kuu ya mleta mada.

malkia wa nguvu (clouds) wanatoa hadi tuzo na wasafi na wenyewe wamefanya hivohivo..unaweza kuenzi siku hii ya wanawake in a different way..

Media nyingi zinawaangalia Clouds wanachofanya kama vile ni kitu cha ulazima kufanyika

pathetic
 
Sawa Shafii kubali kuwa zama zenu ndo kwishney kila mtu "WASAFII"Mambo ndo hay😵k.Tufanye basi wamekopi basi kwa kuwa ninyi ni creative basi badilisheni vingine mtengeneze mwone kama ni rahisi kubuni kitu kipya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaa kwenye point kuu ya mleta mada.

malkia wa nguvu (clouds) wanatoa hadi tuzo na wasafi na wenyewe wamefanya hivohivo..unaweza kuenzi siku hii ya wanawake in a different way..

Media nyingi zinawaangalia Clouds wanachofanya kama vile ni kitu cha ulazima kufanyika

pathetic
Mimi mbona sijatoka nje ya mjadala.

Sasa kosa lipo wapi huoni wametanua wigo wa kusapport wanawake.In different way how?,kwani mwisho wa siku lengo ni moja tu kumsupport na kumwezesha mwanamke ili ajiamini.
 
Hivinajiuliza hawa wasafi wameshindwa kuwa creative?
Mbna kila kipindi au mradi wanakopi?
Kuanzia kivumbi cup-ndondo cup
Block 89-fnl
Wasafi festival-fiesta
Superwoman-malkia wa nguvu
Sports arena-e sports
Refresh-e news/clouds e

Ifike pahala waache huu upuuzi, wanaboa kiukweli
Hata tv yao hawana vipindi creative na endelevu, vinaanza na kuishia njiani
Tv haina kipind kinachoeleweka muda wote ni muziki tena wa kurudia rudia, boss wao akifanya besdei wako live sijui nan kafanya nn wako live hawana msimamo kwa kweli yaan vurugu mechi tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu upande wa tv bado hawajaanza wanakamilisha vipindi vya redio kwanza ndio maana unaona wanapiga miziki muda mwingi..si unajua media bado mpya

Noma kweli
 
Najua tatizo wamekopy wasafi mbona wamekopi wengi.

Clouds e na Social Buzz-Wamekopi EATV kipindi alikuwa anatangaza Dominic Nyalifa.
XXL-Wamekopi Radio One kipindi hiko mtangazaji Aboubakar Sadiq.
After Skul Bash-Wamekopi Likizo Tyme ya Majizo.

Asikudanganye mtu kwa upande wa kuandaa vipindi vya TV vya burudani vijana EATV hawana mpinzani,TV nyingi wamekopi toka kwao.Ukija redio One 80% ya radio zite TZ wamechukua vionjo vingi kutoka kwao.

Sasa kwani kuna ubaya gani mbona ukisikiliza mtiririko wa redio nyingi wamekopi na kupaste,ila umewaona Wasafi.

Ila si shangai kuna watu wanaumizwa namafanikio ya mda mfupi waliyoyapata Wasafi Media,kwani ukizungumzia radio tatu zinazofanya vizuri Dar lazima Wasafi ipo na upande wa streaming Youtube wanaongoza.
Mkuu njoo upate na Pepsi bariiiidi

Noma kweli
 
Sasa huko dabliucibiiiiih Kuna kipi Cha ajabu? Au uwezo wa ku create wao pasipo ku copy wanautoa wapiiiiih? Huko kumejaa unafiki, ukuwadi, misago, na mashangingi lol mweeeeeeeeh.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivinajiuliza hawa wasafi wameshindwa kuwa creative?
Mbna kila kipindi au mradi wanakopi?
Kuanzia kivumbi cup-ndondo cup
Block 89-fnl
Wasafi festival-fiesta
Superwoman-malkia wa nguvu
Sports arena-e sports
Refresh-e news/clouds e

Ifike pahala waache huu upuuzi, wanaboa kiukweli
Hata tv yao hawana vipindi creative na endelevu, vinaanza na kuishia njiani
Tv haina kipind kinachoeleweka muda wote ni muziki tena wa kurudia rudia, boss wao akifanya besdei wako live sijui nan kafanya nn wako live hawana msimamo kwa kweli yaan vurugu mechi tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mtoa mada unateseka kiasi hicho
 
Wasafi FM kipindi bora ni Sports Arena & Cout.

Wasafi TV kipindi bora ni The Bar Tender.

Block 89 mbovu tu kipindi hakina content zozote naona wanapiga story tu kama wapo kijiweni.
 
Mods waunganishe thread na ile ya juzi.

Mbona clouds wamekopy sana EATV. Kuna vitu hata ukicopy havina shida...sasa kumpa tuzo mwanamama we unaumia ? Ukicopy kufanya jambo zur alofanya mwenzio ni kesi?

Tatizo saiz clouds washapotea. Ukipita YouTube wasafi,ukiingia insta wasafi ukija jf wasafi [emoji2], yani na hilo dude superwoman limekua gumzo hadi linatrend namb 2 huko..

Mbona kupongeza wazito? Anyways msalmie diva hapo mjengoni mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua tatizo wamekopy wasafi mbona wamekopi wengi.

Clouds e na Social Buzz-Wamekopi EATV kipindi alikuwa anatangaza Dominic Nyalifa.
XXL-Wamekopi Radio One kipindi hiko mtangazaji Aboubakar Sadiq.
After Skul Bash-Wamekopi Likizo Tyme ya Majizo.

Asikudanganye mtu kwa upande wa kuandaa vipindi vya TV vya burudani vijana EATV hawana mpinzani,TV nyingi wamekopi toka kwao.Ukija redio One 80% ya radio zite TZ wamechukua vionjo vingi kutoka kwao.

Sasa kwani kuna ubaya gani mbona ukisikiliza mtiririko wa redio nyingi wamekopi na kupaste,ila umewaona Wasafi.

Ila si shangai kuna watu wanaumizwa namafanikio ya mda mfupi waliyoyapata Wasafi Media,kwani ukizungumzia radio tatu zinazofanya vizuri Dar lazima Wasafi ipo na upande wa streaming Youtube wanaongoza.

Utashangaza sana ukikwepa hiyo ngumi kwa kuangalia redi yenye miaka 20 na yenye mwaka mmoja..acha mahaba ya kijinga

Jibu zuri ni kuwa wanaanza, watatengenesa vyao

Hii kujaribu kujustify ujinga ndio mnaishia kuwa mashoga na ma justification kibao
 
Wewe vipi unanipangia cha kujibu? Hey u B*tch A*s Nigga Sipo hapa kumfurahisha mtu.

Alafu hao mashoga ndio akina nani?

Vp una urafiki nao au wewe ni mmoja wao?
 
Hivinajiuliza hawa wasafi wameshindwa kuwa creative?
Mbna kila kipindi au mradi wanakopi?
Kuanzia kivumbi cup-ndondo cup
Block 89-fnl
Wasafi festival-fiesta
Superwoman-malkia wa nguvu
Sports arena-e sports
Refresh-e news/clouds e

Ifike pahala waache huu upuuzi, wanaboa kiukweli
Hata tv yao hawana vipindi creative na endelevu, vinaanza na kuishia njiani
Tv haina kipind kinachoeleweka muda wote ni muziki tena wa kurudia rudia, boss wao akifanya besdei wako live sijui nan kafanya nn wako live hawana msimamo kwa kweli yaan vurugu mechi tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Toa credit basi, haka ka uzi si umekakopi kwangu mpwa?
 
Unataka kusema kama kwenye chumba cha mtihani wasafi kakopi majibu yote mpk jina yaani kaokoa muda hajashughulisha ubongo ?
Yani ameacha kukopi namba ya mtihani tu
 
Back
Top Bottom