da viper
Senior Member
- Dec 3, 2013
- 158
- 43
Hivinajiuliza hawa wasafi wameshindwa kuwa creative? Mbna kila kipindi au mradi wanakopi? Kuanzia kivumbi cup-ndondo cup Block 89-fnl, Wasafi festival-fiesta, Superwoman-malkia wa nguvu, Sports arena-e sports
Refresh-e news/clouds e
Ifike pahala waache huu upuuzi, wanaboa kiukweli. Hata tv yao hawana vipindi creative na endelevu, vinaanza na kuishia njiani. Tv haina kipind kinachoeleweka muda wote ni muziki tena wa kurudia rudia, boss wao akifanya besdei wako live sijui nan kafanya nini wako live hawana msimamo kwa kweli yaan vurugu mechi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app