Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Identity ipi?Mafanikio yapi unayoyazungumzia?
Hata kama wamekopi lakini wameboresha na wana identity yao kuliko hao wasafi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kukataa kuambiwa ukweli, ila lazma tufikiri kwa upana.hamtaki kusikia wala kuambiwa ukweli
Kwa hiyo tuendelee kuabudu tabia hiyo? Shida inakuja kwa sisis walaji tunaona testi ni ile ile hatuitaji kula/kinawahi kukinahi.Sio kukataa kuambiwa ukweli, ila lazma tufikiri kwa upana.
Vitu vingi vinavyofanywa vilishawahi fanywa, there's no original idea perse ila tunachoangalia vimefanywa au vinafanywa kwa namna gani tofauti na ndo dhana ya ubunifu ilipo hapo.
Ukitaka kuwa mtu wa kulinganisha linganisha vitu tu bila kuona utofauti lazma utaamini kila kitu kimeigwa.
Unatuonyesha ufanano tu ili kuthibitisha hoja ya ati ni copy & paste huchambui utofauti uliopo.
Unachoongea ni kama vile Coca katengeneza kinywaji chenye flavour ya cola vivyo hivyo Pesi naye akatengeneza.
Huyu kaja na Sprite huyu kaja na 7up.
Huyu Fanta orange yule mirinda orange.
Huyu Mirinda nyeusi yule Mirinda nyeusi.
Ama kama ilivyo makampuni ya simu, yote kwa yote ni ushindani wa kibiashara tu.
Huo ndo mkakati wa biashara. Kama unaweza kuchota viewers wa mpinzani wako kwa kuingilia soko lake hiyo inakubalika.Alafu wanakopi hadi muda wa kurusha kipindi sijui wanawazaga nini hawa maandazi
Mkuu kwanza tuanzie kwenye industry yako.Ukishaishiwa kibiashara ndio kufilisika kwenyewe,kama matumizi ya internet yatazidi kukua online Tv ndio zitakuwa na soko.
Kitu kingine ni kwamba vipindi vingi havina content za kibunifu kama MTU unafuatilia sana mitandao unaweza ukawa unapata taarifa na burudani zote hakuna aja ya redio .
Ninachokiona watangazaji wanaokoteza okoteza taarifa za mitandaoni ndio wanatangaza hawajitumi,kuandaa vipindi vya kibunifu .
Mwambieni CEO wa wasafi anione nimpe idea za vipindi vya kibunifu sio C&P.
Nilitaka kusema mkuu umeniwahi halafu huyo salama cjui kaishiwa majina ya vpindi eti anakipindi kinaitwa salama na..... which is which?Jina linakuwa tofauti ila Maudhui ni yale yale, Mkasi na Bar Tender tofauti ni Location tu na baadhi ya vitu ila Idea ni ile ile
Sitosahau kimeigwa sana mkuu yaani media nyingi zina vpindi vya simulizi ila wamegeuza geuza tuuBreak fast Club ya marekani na wao wana peruzi na kudadisi? na wao wana ripoti ya Bonge? Lile ni jina tu, RFA Kaiga kipindi gani? Sito sahau na Njia panda ni vitu viwili tofauti
Hakuna wa kumuabudu, hizo zilikuwa enzi hizo. Muhimu ni kuchambua kipi kizuri na kinakidhi hitaji lako maana, "dunia sinia pakua unachoweza" labda kama uniambie una aleji na kila mlo toka kwa wapishi wa maudhui ya habari.Kwa hiyo tuendelee kuabudu tabia hiyo..?, shida inakuja kwa sisis walaji tunaona testi ni ile ile hatuitaji kula/kinawahi kukinahi