Media za Bongo na muendelezo wa Copy & Paste

Media za Bongo na muendelezo wa Copy & Paste

Huyu Dida na Idrisi Kitaa alikuwa anatangaza redio gani??maana juzi nikajua nasikiliza ile redio yake ya zamani kumbe kahama na kipindi chake Wasafi.
 
Swala la C&P tunalikuza mno kwa msingi wa wivu na chuki binafsi hasa kutoka kwa mashabiki wa media tofauti tofauti. Hivi leo tukiangaza kuonglea vitu vinavyofanana kwamba ni C&P dunia isingefika hapa. Leo hii duniani ina makampuni mangapi ya simu? sio wote wali C&P kutoka wazo la mtu wakwanza, Je TV, Gari, Viatu, ndege, n.k. Cha msingi kinachotakiwa unatohoa wazo la mtu kufanya kitu tofauti. mbona kila radio ina taarifa ya habari, michezo n.k nazo zimeiga?
 
hamtaki kusikia wala kuambiwa ukweli
Sio kukataa kuambiwa ukweli, ila lazma tufikiri kwa upana.

Vitu vingi vinavyofanywa vilishawahi fanywa, there's no original idea perse ila tunachoangalia vimefanywa au vinafanywa kwa namna gani tofauti na ndo dhana ya ubunifu ilipo hapo.

Ukitaka kuwa mtu wa kulinganisha linganisha vitu tu bila kuona utofauti lazma utaamini kila kitu kimeigwa.

Unatuonyesha ufanano tu ili kuthibitisha hoja ya ati ni copy & paste huchambui utofauti uliopo.

Unachoongea ni kama vile Coca katengeneza kinywaji chenye flavour ya cola vivyo hivyo Pesi naye akatengeneza.

Huyu kaja na Sprite huyu kaja na 7up.

Huyu Fanta orange yule mirinda orange.

Huyu Mirinda nyeusi yule Mirinda nyeusi.

Ama kama ilivyo makampuni ya simu, yote kwa yote ni ushindani wa kibiashara tu.
 
Kwa hiyo tuendelee kuabudu tabia hiyo? Shida inakuja kwa sisis walaji tunaona testi ni ile ile hatuitaji kula/kinawahi kukinahi.
 
Ukishaishiwa kibiashara ndio kufilisika kwenyewe,kama matumizi ya internet yatazidi kukua online Tv ndio zitakuwa na soko.
Kitu kingine ni kwamba vipindi vingi havina content za kibunifu kama MTU unafuatilia sana mitandao unaweza ukawa unapata taarifa na burudani zote hakuna aja ya redio .

Ninachokiona watangazaji wanaokoteza okoteza taarifa za mitandaoni ndio wanatangaza hawajitumi,kuandaa vipindi vya kibunifu .

Mwambieni CEO wa wasafi anione nimpe idea za vipindi vya kibunifu sio C&P.
Mkuu kwanza tuanzie kwenye industry yako.

Umeongeza ama umepunguza nini.

Na wewe wachukua wachukua mwezi mmoja Wa kodi? Ile hela ya usumbufu mnayoita nawe waitoza?
 
Hata kuiga ni ubunifu pia, inategemeana na lengo. Kama lengo lako ni kuwa namba moja kwenye industry fulani copy & paste ni silaha kubwa sana ila ni lazima ufanye kwenye ubora wa hali ya juu sana.
 
Hata kuiga ni ubunifu pia, inategemeana na lengo. Kama lengo lako ni kuwa namba moja kwenye industry fulani copy & paste ni silaha kubwa sana ila ni lazima ufanye kwenye ubora wa hali ya juu sana.
sawa
 
Kwa hiyo tuendelee kuabudu tabia hiyo..?, shida inakuja kwa sisis walaji tunaona testi ni ile ile hatuitaji kula/kinawahi kukinahi
Hakuna wa kumuabudu, hizo zilikuwa enzi hizo. Muhimu ni kuchambua kipi kizuri na kinakidhi hitaji lako maana, "dunia sinia pakua unachoweza" labda kama uniambie una aleji na kila mlo toka kwa wapishi wa maudhui ya habari.

Kama ambavyo, wadhamini ama makampuni yanayotangaza biashara, yenyewe yanachagua ama kwa kushauriwa pia na wataalamu wa masoko wanaweza dhamini segment tu ya kipindi nawe nakushauri waweza sikiliza segment tu kama wapenda au kipindi kizima.

Dunia ya sasa, kwenye biashara hatutafuti upekee maana ni soko huria haupo peke yako bali utofauti maana unaweza fanya zaidi ya mwenzako na si lazma kuwe na utofauti mkubwa, kama ambavyo kinachofanya wenye iPhone waringe ni logo ya apple kabla ya mengine.

Tukitafuta original idea hakuna, hata Fiesta ambayo ilibadilishwa jina tu kutoka Summer Jam ya kibongo ni idea iliyotoka Marekani enzi hizo music festival iliyokuwa inabamba ni Summer Jam.
 
Back
Top Bottom