Shughuli yoyote isiyotokeza huduma au bidhaa kwa jamii haipaswi kuitwa kazi hata kama imeleta kipato.
Nakubaliana na walioharamisha hizi mambo.
Na wanaotumia sijawatenga ndugu zangu ila ushauri ni mkipata hizo hela basi wekezeni kwenye bidhaa na huduma halisi. Usije hata siku moja ukasema 'kazi yangu ni kubeti tu'
Kubeti ukifanya kama mchezo wa kujifurahisha haina madhara sana, tatizo lipo kwenye kuifanya ndo kazi tu