Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,796
- 2,367
ndo maendeleo ya nchi hayo mtulie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ndio walia kodi wakubwaNingelikua na mamlaka fulani ya juu nchi hii [emoji847] ningelipiga marufuku michezo yote inayo husiha bahati na sibu, sijui kamari ikiwemo kubeti vile vi dude vya wachina wanavyo weka 200 ili kucheza n.k nguvu kazi ya taifa ina lemazwa.
Mbn uelewekiRedio zilianzishwa kwaajili ya watu maskini, kaa ndani msikilize anayelipwa mshahara, matangazoya biashara yapo kwa ajili yako, Ndo maana namkubali sana Chibude#Wasafibet.
Azam mediaHivi tuna media Tanzania [emoji1][emoji1][emoji1]
Mkuu pesa yoyote ya kamali imelaaniwa na Mungu,hata ujenge nyumba ipo siku tu ima utaiuza au itaungua au utadhulumiwa au inaweza tu ikavunjwa na serikali kwamba umejenga mahali pasiporuhusiwa.....huwez kufanyia la maana pesa kamaliShughuli yoyote isiyotokeza huduma au bidhaa kwa jamii haipaswi kuitwa kazi hata kama imeleta kipato.
Nakubaliana na walioharamisha hizi mambo.
Na wanaotumia sijawatenga ndugu zangu ila ushauri ni mkipata hizo hela basi wekezeni kwenye bidhaa na huduma halisi. Usije hata siku moja ukasema 'kazi yangu ni kubeti tu'
Kubeti ukifanya kama mchezo wa kujifurahisha haina madhara sana, tatizo lipo kwenye kuifanya ndo kazi tu