Media zetu zinavyofunga akili zetu kwa minyororo ya michezo ya kubashiri

Media zetu zinavyofunga akili zetu kwa minyororo ya michezo ya kubashiri

Ningelikua na mamlaka fulani ya juu nchi hii [emoji847] ningelipiga marufuku michezo yote inayo husiha bahati na sibu, sijui kamari ikiwemo kubeti vile vi dude vya wachina wanavyo weka 200 ili kucheza n.k nguvu kazi ya taifa ina lemazwa.
Hao ndio walia kodi wakubwa
 
Redio zilianzishwa kwaajili ya watu maskini, kaa ndani msikilize anayelipwa mshahara, matangazoya biashara yapo kwa ajili yako, Ndo maana namkubali sana Chibude#Wasafibet.
Mbn ueleweki
 
Shughuli yoyote isiyotokeza huduma au bidhaa kwa jamii haipaswi kuitwa kazi hata kama imeleta kipato.

Nakubaliana na walioharamisha hizi mambo.

Na wanaotumia sijawatenga ndugu zangu ila ushauri ni mkipata hizo hela basi wekezeni kwenye bidhaa na huduma halisi. Usije hata siku moja ukasema 'kazi yangu ni kubeti tu'

Kubeti ukifanya kama mchezo wa kujifurahisha haina madhara sana, tatizo lipo kwenye kuifanya ndo kazi tu
Mkuu pesa yoyote ya kamali imelaaniwa na Mungu,hata ujenge nyumba ipo siku tu ima utaiuza au itaungua au utadhulumiwa au inaweza tu ikavunjwa na serikali kwamba umejenga mahali pasiporuhusiwa.....huwez kufanyia la maana pesa kamali
 
Back
Top Bottom