Medical council of Tanganyika(MCT), acheni kuonea vijana wa wanaomaliza udaktari

Medical council of Tanganyika(MCT), acheni kuonea vijana wa wanaomaliza udaktari

Binafsi sijawahi kusikia au kuona Daktari halisi akiogopa au kulalamika kufanyishwa mtihani unaolenga kupima ufahamu wake wa kuweza kutibu wagonjwa.

Woga wa nini ndugu kama ulifuzu vyema udaktari wako?
Elewa basi ukiambiwa kua politics ndani yake. Ni kozi gani ina Pre and Post internership?
 
Katika hili nitawatetea MCT kwa 100%.
Kwa mfano:

1. Katika mazingira ya sasa ambao vijana wamesoma katika vyuo vingi tofauti na katika nchi tofauti tofauti sana, kigezo cha kuwapima kuwa wamefuzu kabla ya kuanza internship ni kuweka mtihani tu ili kuwa na standard zinazokubalika.

Hapa umezungumza vyema na kuufunga mjadala. Asiyekuelewa basi hawaitakii mema fani ya udaktari / utabibu Tanzania itambuliwe na kuheshimiwa vyema ndani na nje ya mipaka ya nchi yetu.

Swala la kuhakikisha afya na maisha ya watu yanalindwa halina njia ya mkato.
 
Woga wa nini kuhusu kufanya mtihani ikiwa mhusika alikaa vizuri darasani na kufaulu? Mimi ninaamini madaktari ni watu wanaojiamini na kuenjoy kufanya mitihani sana, sasa mitihani miwili tu (Pre and post internship), tena mitihani muhimu kwa professional yake iweje Daktari alalamike?
Katika hili nitawatetea MCT kwa 100%.
Kwa mfano:

1. Katika mazingira ya sasa ambao vijana wamesoma katika vyuo vingi tofauti na katika nchi tofauti tofauti sana, kigezo cha kuwapima kuwa wamefuzu kabla ya kuanza internship ni kuweka mtihani tu ili kuwa na standard zinazokubalika.

2. Katika mazingira ambayo vyuo vingi vimekuwa vikichakachua ufaulu, ni kwanini MCT isiweke mtihani ili kujiridhisha kama mhusika anafuzu kutibu watanzania?
Mkuu inawezekana una point.. lakini ungeona structure ya huo mtihani ungeelewa andiko la jamaa.. mtihani ni wakisiasa sana..
Maana mtihani una maswali 150 unayafanya kwa masaa 3. Maswali yote ni multiple choice na ni theory tu.

Kijana wa mwaka wa 3 ana mtihani ulio realistic zaidi ya mtihani wa post au pre intern..

Hii mitihani ingekua ya maana kama ingekua theory na practical kama mtihani mingine ya medical school. Lakini huu wa maswali 150 tana theory ni kupotezeana muda na pesa tu.

Pia hela ya registration kupata leseni baada ya kufaulu hio mtihani ni kubwa sana.. imagine mtu huna kazi utoe 300k kwa ajili ya registration na kupata leseni.
 
Hapa umezungumza vyema na kuufunga mjadala. Asiyekuelewa basi hawaitakii mema fani ya udaktari / utabibu Tanzania itambuliwe na kuheshimiwa vyema ndani na nje ya mipaka ya nchi yetu.

Swala la kuhakikisha afya na maisha ya watu yanalindwa halina njia ya mkato.
Umeamua kumsapoti tu lakini ukiangalia undani wa mtihani wenyewe hata hausaidii kumfanya daktari aimprove.. mtihani ni theory tu tena multiple choice maswali 150. Kiasi kwamba ukitaka kufaulu huo mtihani unajifungia chumbani na past papers zako na vitabu vyako kadhaa. Pepa liko kisiasa sana na sio kwaajili ya kumsaidia mgonjwa wala daktari.Wangekua wanataka kusaidia angalau wangeweka clinical based exam.
 
Mkuu, umeeleza vizuri sana mtu ambae haelewi ni rahisi kubeza na kutoa kejeli,hii mitihani imejaa siasa tupu, kama wangetaka kumpima daktar wangeweka practical exam na sio maswali 150, tena multiple choice. Nchi yetu bado ina safari ndefu sana hasa upande wa elimu, mbaya zaidi hadi kwenye medicine siasa zimeingia. Tunamshauri mhe. Waziri asitishe mara moja huu mpango usiowatakia mema vijana wetu na Taifa kwa ujumla, tunajua Mhe. Rais hili suala nadhani bado hajalijua na pengine kutokana na mambo mengi aliyonayo ya kufanya, lkn kupitia jukwaa hili nadhani watu wake watamfikishia kilio hiki cha vijama lukuki walioathiliwa na hii kitu na watakaoathiliwa kama haitasitishwa.
 
Hii imekaa vizuri, kuna vyuo vinatengeneza wataalamu uchwara, wachujwe.
Kama shida ni hii, basi hivyo vyuo vifungwe havina sifa, lkn sio kuleta mambo ya ajabu ajabu kama haya, mtoto wa maskini hasa waliosoma private wanalipa fedha nyingi sana mpaka anamalza anakuwa amefilisi familia,leo tena mnamletea mitihani isiyokuwa na nia nzuri kwake
 
Hapa umezungumza vyema na kuufunga mjadala. Asiyekuelewa basi hawaitakii mema fani ya udaktari / utabibu Tanzania itambuliwe na kuheshimiwa vyema ndani na nje ya mipaka ya nchi yetu.

Swala la kuhakikisha afya na maisha ya watu yanalindwa halina njia ya mkato.
Huo mkato unaousema ni upi au unajibu tu kama umekatwa kichwa, haya nikuulze swali, hii mituhani imeanza mwaka jana, je huko nyuma ilikuwaje, hujawahi kwenda kutibiwa ukapona??, Unahisi hao waliokutibu pia walifanyishwa mtihani kama huu?? Sisi wazazi wenye watoto hasa ambao tumetoa fedha kusomesha ndio tunajua uchungu wa hiki
 
Hapa umezungumza vyema na kuufunga mjadala. Asiyekuelewa basi hawaitakii mema fani ya udaktari / utabibu Tanzania itambuliwe na kuheshimiwa vyema ndani na nje ya mipaka ya nchi yetu.

Swala la kuhakikisha afya na maisha ya watu yanalindwa halina njia ya mkato.
Naomba utuambie hapa ni fani gani, au nchi gani ina hii kitu inaitwa Pre intern na post, angalau post, lkn hii pre ni nini hiki?, Kwa ajili gani?
 
MCT kwa sasa imeingia KIRUSI, imeingiwa na MATAPELI, Imeingiwa na WANASIASA,hawa kina Elisha Osati huyu ambaye alikua Rais wa MAT eti naye ni Staff member wa MCT, siasa tupu kuumiza Vijana wa watu.

Haiwezekani kijana huyu aliyekaa chuo miaka 5 au 7 kwa wale wa nje, anataka kuanza mafunzo unampa mtihani, anamaliza unampa mtihani tena, kuna kozi gani ina Pre and Post internership? UTAPELI mtupu kubana pesa za umma. Ngojeni CORONA itawanyoosha na hivi madaktari watakua wachache.
Yaani haya maisha ya usomi sikujua Kama ni utumwa to this extent na kumbuka bado kazi ikitokea mnapigwa Tena mtihani.
Yaani wewe ni wa kusoma tu maisha yako.
Mara mitihani ya board ama fee ilimradi msomi unyonywe jamani.
Ukishaanza kula salary Kuna insurance company wanakuja kwako wanajifanya kuwa wanakupenda wanakuambia kuwa Katia wanao bima ili na wao wawe na uhakika wa kuishi hata ukipata ajali.
Na ilhali sijawahi kuwaona wakienda kijijini kwetu kuwaambia wenyeji kuwa wakate bima kisa kule kuti kavu.
Yaani unqpigwa Sera unajiona inatakiwa uwe Kama mzungu.
Mara wauza magari wanakuambia chukua gari utakuwa unalipa slowly slowly.

Mara wajenzi tunakuja tunakuambiwq usihangaike kupanga tunakujengea utalipq kidogo for 25 yrs utaimiliki nyumba.

Ni full utumwa Kama mkulima anaamka mwenyewe anapotezea usingizi wake kuwahi shambani Ila akivuna anapangiwa Bei ya kuuza na hata mahali pa kuuza.
Ila mfanyabiashara atachukua mazao yangu for 20M atahonga atayapeleka sudani atapiga around 25M profit within a matter of week.

Hakuna kazi nzuri hapa duniani like business sema kwa watu wasio weza kutaka kuona nyeusi ama nyeupe.
Ama zero ama moja Ila in between
 
Mkuu inawezekana una point.. lakini ungeona structure ya huo mtihani ungeelewa andiko la jamaa.. mtihani ni wakisiasa sana..
Maana mtihani una maswali 150 unayafanya kwa masaa 3. Maswali yote ni multiple choice na ni theory tu.

Kijana wa mwaka wa 3 ana mtihani ulio realistic zaidi ya mtihani wa post au pre intern..

Hii mitihani ingekua ya maana kama ingekua theory na practical kama mtihani mingine ya medical school. Lakini huu wa maswali 150 tana theory ni kupotezeana muda na pesa tu.

Pia hela ya registration kupata leseni baada ya kufaulu hio mtihani ni kubwa sana.. imagine mtu huna kazi utoe 300k kwa ajili ya registration na kupata leseni.
Wewe Ndio mwenye hofu na mtihani.... kwa mwanafunzi competence, sina hakika kama hatakuwa na hofu dhidi ya pre and post internships exams...
Wenda kama ulisoma kwenye vyuo za magumashi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili swala la mitihani baada ya mtu kumaliza masomo na kugraduate sidhani kama ni sahihi sana na naliona kama ni kwa ajili ya upigaji zaidi .
Mbona CPA na school of law kuna mitihani baada ya kumaliza shule?
 
Safi sana. Tena mpigwe pepa la nguvu.

Huko vyuoni hamsomi kazi yenu kubwa ni kuingiza chupa sehemu za siri tu.
Wewe ndio ulitaka kumshtaki JPM? watu walifikiri uko serious kumbe chizi tuu
 
Elewa basi ukiambiwa kua politics ndani yake. Ni kozi gani ina Pre and Post internership?
Politics zinaingiaje hapo wakati hiyo mitihani ni suala la kitaaluma?

Mbona hauhoji kwanini kozi ya udaktari hapa Tanzania iwe miaka mitano na sio mitatu au minne kama kozi nyingine?

Mbona hauhoji kwanini waajiri huweka interview wanapotaka kuajiri kama vyeti vya kitaaluma pekee vinatosha?

Kukuweka sawa tu hapa, ngoja nikueleweshe kitu.
Kuna utafiti ulifanyika na kuonyesha haya:
1. Wahitimu wa udaktari wa zama hizi uwezo wao katika kutibu uko chini ukilinganisha na hapo zamani.

2. Wahitimu wa udaktari wako kwenye standard tofauti sana kimaarifa kulingana ni vyuo walivyohitimu.

3. Daktari anayefanya internship hukasimishwa majukumu yote ya kikazi za kidaktari hivyo ni vyema akapimwa kwanza (pre internship exam) kabla ya kuanza internship.

4. Madaktari wengi waliokuwa wanafanya internship (kwa kuwa hakukuwa na mitihani) hujikuta wamejisahau kuwa wako kwenye mafunzo ya vitendo, hivyo kutokujituma na mwisho wa siku humaliza internship zao wakiwa hawana ufahamu wa kutosha.
 
Huo mtihani utakuwa unabadilika au kila mwaka ni huo?
Mtihani maana yake ni kipimo kinachoandaliwa kwa siri chenye lengo la kupima uelewa kwa kile ulichojifunza, hivyo ni wazi kila mwaka ni mtihani mpya kama ilivyo mitihani mingine katika shule, vyuo nk.
 
Back
Top Bottom