Medical council of Tanganyika(MCT), acheni kuonea vijana wa wanaomaliza udaktari

Kwanza nikiwa kama mzazi niwape pole sana mamia kwa maelfu wa vijana wanaomaliza udaktari katika vyuo mbalimbali hapa nchini,kwa sababu ni wahanga wakubwa wa hii kitu inaitwa MCT.

Mchakato wa kumpata daktari unajulikana na ni mgumu sana kwani mtu kufikia kumaliza miaka mitano ya udaktari wa binadamu anakuwa amepitia mitihani mingi ya theory na practical.

Sasa hawa MCT wamekuja na kitu kinaitwa pre internship na post internship, kichekesho zaidi ni hiyo pre internship, ndugu zangu duniani kote na hata hapa Tanzania kwenye baadhi ya mabaraza kama famasia, maabara, na wauguzi, hamna kitu kinaitwa pre internship exam, unampima nini kijana ambae anatarajia kufanya mafunzo ya internship mwaka mmoja??? Lengo lenu katika hili ni nini?, Ina maana nchi hii madaktari wametosha kiasi hicho mnaamua kuzima ndoto za vijana??.

Maombi yangu kwa hawa wakubwa;
Waziri wa afya na naibu wake,
Na kwa unyenyekevu Mh. Rais wetu Mama Samia, naomba kuagizwa kufutwa mara moja kwa hiki kitu kinachoitwa pre internship na pia kukiangazia kwa jicho la tatu post internship kama inafaa kuendelea kuwepo kwenye kada hii ya udaktari.
Pole

But siyo kitu cha ajabu
 
Yaani haya maisha ya usomi sikujua Kama ni utumwa to this extent na kumbuka bado kazi ikitokea mnapigwa Tena mtihani.
Yaani wewe ni wa kusoma tu maisha yako.
Mara mitihani ya board ama fee ilimradi msomi unyonywe jamani.
Ukishaanza kula salary Kuna insurance company wanakuja kwako wanajifanya kuwa wanakupenda wanakuambia kuwa Katia wanao bima ili na wao wawe na uhakika wa kuishi hata ukipata ajali.
Na ilhali sijawahi kuwaona wakienda kijijini kwetu kuwaambia wenyeji kuwa wakate bima kisa kule kuti kavu.
Yaani unqpigwa Sera unajiona inatakiwa uwe Kama mzungu.
Mara wauza magari wanakuambia chukua gari utakuwa unalipa slowly slowly.

Mara wajenzi tunakuja tunakuambiwq usihangaike kupanga tunakujengea utalipq kidogo for 25 yrs utaimiliki nyumba.

Ni full utumwa Kama mkulima anaamka mwenyewe anapotezea usingizi wake kuwahi shambani Ila akivuna anapangiwa Bei ya kuuza na hata mahali pa kuuza.
Ila mfanyabiashara atachukua mazao yangu for 20M atahonga atayapeleka sudani atapiga around 25M profit within a matter of week.

Hakuna kazi nzuri hapa duniani like business sema kwa watu wasio weza kutaka kuona nyeusi ama nyeupe.
Ama zero ama moja Ila in between
si hayo tu hata ukienda semina yeyote km ya COVID bado utapigwa paper! utafanya kazi weeee!! mara ghafla siku moja asubuhi unaingia kazini unaambiwa pandisha juu!! kule unakuta tena paper ya ghafla bila kujiandaaa!!!

na mabingwa uso wajua nakwambia mbona daktari ni paperza mitihani tyuuuuu!! ......mpaka anakufa! hapo bado mijadala kila siku asubuhi ward round!! mawodini huko!!

haya bado medical meeting presenations case zisizo pungua mbili kila siku kabla ya kuanza kazi!! hapo napo mtakaa weee!! maswali na majibu! mweee! kazi kweli kweli!...hapo haijatokea death dr sukari anajua sijui yuko wapi huyu mwamba!!

sasa basi Death bana utaelezea weeeee!! kwa nini! wapi! lini! kwa aje jamani nyie!! wacha tu hawa jamaa waingie kwa siasa make huko ni muziki muziki na wewe ndo maana hawana muda wa kusema sema saana!!

sasa hapo kipindupindundo kiingie mama weee!......halafu hakuna maji kibongo!! bongo yaani usipokwenda na maji yako kwenye gari yako itakuwa imekula kwako!!
 
Kwanza nikiwa kama mzazi niwape pole sana mamia kwa maelfu wa vijana wanaomaliza udaktari katika vyuo mbalimbali hapa nchini,kwa sababu ni wahanga wakubwa wa hii kitu inaitwa MCT.

Mchakato wa kumpata daktari unajulikana na ni mgumu sana kwani mtu kufikia kumaliza miaka mitano ya udaktari wa binadamu anakuwa amepitia mitihani mingi ya theory na practical.

Sasa hawa MCT wamekuja na kitu kinaitwa pre internship na post internship, kichekesho zaidi ni hiyo pre internship, ndugu zangu duniani kote na hata hapa Tanzania kwenye baadhi ya mabaraza kama famasia, maabara, na wauguzi, hamna kitu kinaitwa pre internship exam, unampima nini kijana ambae anatarajia kufanya mafunzo ya internship mwaka mmoja??? Lengo lenu katika hili ni nini?, Ina maana nchi hii madaktari wametosha kiasi hicho mnaamua kuzima ndoto za vijana??.

Maombi yangu kwa hawa wakubwa;
Waziri wa afya na naibu wake,
Na kwa unyenyekevu Mh. Rais wetu Mama Samia, naomba kuagizwa kufutwa mara moja kwa hiki kitu kinachoitwa pre internship na pia kukiangazia kwa jicho la tatu post internship kama inafaa kuendelea kuwepo kwenye kada hii ya udaktari.
hatutaki madaktari wazembewazembe, wawanoe haswa, tena tulia dawa ikuingie.
 
si hayo tu hata ukienda semina yeyote km ya COVID bado utapigwa paper! utafanya kazi weeee!! mara ghafla siku moja asubuhi unaingia kazini unaambiwa pandisha juu!! kule unakuta tena paper ya ghafla bila kujiandaaa!!!

na mabingwa uso wajua nakwambia mbona daktari ni paperza mitihani tyuuuuu!! ......mpaka anakufa! hapo bado mijadala kila siku asubuhi ward round!! mawodini huko!!

haya bado medical meeting presenations case zisizo pungua mbili kila siku kabla ya kuanza kazi!! hapo napo mtakaa weee!! maswali na majibu! mweee! kazi kweli kweli!...hapo haijatokea death dr sukari anajua sijui yuko wapi huyu mwamba!!

sasa basi Death bana utaelezea weeeee!! kwa nini! wapi! lini! kwa aje jamani nyie!! wacha tu hawa jamaa waingie kwa siasa make huko ni muziki muziki na wewe ndo maana hawana muda wa kusema sema saana!!

sasa hapo kipindupindundo kiingie mama weee!......halafu hakuna maji kibongo!! bongo yaani usipokwenda na maji yako kwenye gari yako itakuwa imekula kwako!!
wacha wapigwe pepa za kutosha maana wanatibu binadamu sio mbuzi wala kuku. Hatutaki madaktari wa degree za chupi kama walimu. Tunataka madaktari vichwa na mabingwa kwelikweli.
 
si hayo tu hata ukienda semina yeyote km ya COVID bado utapigwa paper! utafanya kazi weeee!! mara ghafla siku moja asubuhi unaingia kazini unaambiwa pandisha juu!! kule unakuta tena paper ya ghafla bila kujiandaaa!!!

na mabingwa uso wajua nakwambia mbona daktari ni paperza mitihani tyuuuuu!! ......mpaka anakufa! hapo bado mijadala kila siku asubuhi ward round!! mawodini huko!!

haya bado medical meeting presenations case zisizo pungua mbili kila siku kabla ya kuanza kazi!! hapo napo mtakaa weee!! maswali na majibu! mweee! kazi kweli kweli!...hapo haijatokea death dr sukari anajua sijui yuko wapi huyu mwamba!!

sasa basi Death bana utaelezea weeeee!! kwa nini! wapi! lini! kwa aje jamani nyie!! wacha tu hawa jamaa waingie kwa siasa make huko ni muziki muziki na wewe ndo maana hawana muda wa kusema sema saana!!

sasa hapo kipindupindundo kiingie mama weee!......halafu hakuna maji kibongo!! bongo yaani usipokwenda na maji yako kwenye gari yako itakuwa imekula kwako!!
Unamkuta anatembelea mark two second hand Ila hii kazi ni kujitolea mkuu kuokoa maisha ya watu. Ingawa wabunge hawajitolei kuwaongoza watu.
 
Back
Top Bottom