Fundi Madirisha
Senior Member
- Jun 30, 2020
- 184
- 988
Elewa basi ukiambiwa kua politics ndani yake. Ni kozi gani ina Pre and Post internership?Binafsi sijawahi kusikia au kuona Daktari halisi akiogopa au kulalamika kufanyishwa mtihani unaolenga kupima ufahamu wake wa kuweza kutibu wagonjwa.
Woga wa nini ndugu kama ulifuzu vyema udaktari wako?
Katika hili nitawatetea MCT kwa 100%.
Kwa mfano:
1. Katika mazingira ya sasa ambao vijana wamesoma katika vyuo vingi tofauti na katika nchi tofauti tofauti sana, kigezo cha kuwapima kuwa wamefuzu kabla ya kuanza internship ni kuweka mtihani tu ili kuwa na standard zinazokubalika.
Mkuu inawezekana una point.. lakini ungeona structure ya huo mtihani ungeelewa andiko la jamaa.. mtihani ni wakisiasa sana..Woga wa nini kuhusu kufanya mtihani ikiwa mhusika alikaa vizuri darasani na kufaulu? Mimi ninaamini madaktari ni watu wanaojiamini na kuenjoy kufanya mitihani sana, sasa mitihani miwili tu (Pre and post internship), tena mitihani muhimu kwa professional yake iweje Daktari alalamike?
Katika hili nitawatetea MCT kwa 100%.
Kwa mfano:
1. Katika mazingira ya sasa ambao vijana wamesoma katika vyuo vingi tofauti na katika nchi tofauti tofauti sana, kigezo cha kuwapima kuwa wamefuzu kabla ya kuanza internship ni kuweka mtihani tu ili kuwa na standard zinazokubalika.
2. Katika mazingira ambayo vyuo vingi vimekuwa vikichakachua ufaulu, ni kwanini MCT isiweke mtihani ili kujiridhisha kama mhusika anafuzu kutibu watanzania?
Umeamua kumsapoti tu lakini ukiangalia undani wa mtihani wenyewe hata hausaidii kumfanya daktari aimprove.. mtihani ni theory tu tena multiple choice maswali 150. Kiasi kwamba ukitaka kufaulu huo mtihani unajifungia chumbani na past papers zako na vitabu vyako kadhaa. Pepa liko kisiasa sana na sio kwaajili ya kumsaidia mgonjwa wala daktari.Wangekua wanataka kusaidia angalau wangeweka clinical based exam.Hapa umezungumza vyema na kuufunga mjadala. Asiyekuelewa basi hawaitakii mema fani ya udaktari / utabibu Tanzania itambuliwe na kuheshimiwa vyema ndani na nje ya mipaka ya nchi yetu.
Swala la kuhakikisha afya na maisha ya watu yanalindwa halina njia ya mkato.
Mkuu, umeeleza vizuri sana mtu ambae haelewi ni rahisi kubeza na kutoa kejeli,hii mitihani imejaa siasa tupu, kama wangetaka kumpima daktar wangeweka practical exam na sio maswali 150, tena multiple choice. Nchi yetu bado ina safari ndefu sana hasa upande wa elimu, mbaya zaidi hadi kwenye medicine siasa zimeingia. Tunamshauri mhe. Waziri asitishe mara moja huu mpango usiowatakia mema vijana wetu na Taifa kwa ujumla, tunajua Mhe. Rais hili suala nadhani bado hajalijua na pengine kutokana na mambo mengi aliyonayo ya kufanya, lkn kupitia jukwaa hili nadhani watu wake watamfikishia kilio hiki cha vijama lukuki walioathiliwa na hii kitu na watakaoathiliwa kama haitasitishwa.Umeamua kumsapoti tu lakini ukiangalia undani wa mtihani wenyewe hata hausaidii kumfanya daktari aimprove.. mtihani ni theory tu tena multiple choice maswali 150. Kiasi kwamba ukitaka kufaulu huo mtihani unajifungia chumbani na past papers zako na vitabu vyako kadhaa. Pepa liko kisiasa sana na sio kwaajili ya kumsaidia mgonjwa wala daktari.Wangekua wanataka kusaidia angalau wangeweka clinical based exam.
Kama shida ni hii, basi hivyo vyuo vifungwe havina sifa, lkn sio kuleta mambo ya ajabu ajabu kama haya, mtoto wa maskini hasa waliosoma private wanalipa fedha nyingi sana mpaka anamalza anakuwa amefilisi familia,leo tena mnamletea mitihani isiyokuwa na nia nzuri kwakeHii imekaa vizuri, kuna vyuo vinatengeneza wataalamu uchwara, wachujwe.
Huo mkato unaousema ni upi au unajibu tu kama umekatwa kichwa, haya nikuulze swali, hii mituhani imeanza mwaka jana, je huko nyuma ilikuwaje, hujawahi kwenda kutibiwa ukapona??, Unahisi hao waliokutibu pia walifanyishwa mtihani kama huu?? Sisi wazazi wenye watoto hasa ambao tumetoa fedha kusomesha ndio tunajua uchungu wa hikiHapa umezungumza vyema na kuufunga mjadala. Asiyekuelewa basi hawaitakii mema fani ya udaktari / utabibu Tanzania itambuliwe na kuheshimiwa vyema ndani na nje ya mipaka ya nchi yetu.
Swala la kuhakikisha afya na maisha ya watu yanalindwa halina njia ya mkato.
Naomba utuambie hapa ni fani gani, au nchi gani ina hii kitu inaitwa Pre intern na post, angalau post, lkn hii pre ni nini hiki?, Kwa ajili gani?Hapa umezungumza vyema na kuufunga mjadala. Asiyekuelewa basi hawaitakii mema fani ya udaktari / utabibu Tanzania itambuliwe na kuheshimiwa vyema ndani na nje ya mipaka ya nchi yetu.
Swala la kuhakikisha afya na maisha ya watu yanalindwa halina njia ya mkato.
Na ndio unakuta kila mwezi anaumwa Gono,Ndio upuuzi huo uliopo kichwa mwako. Sehemu za siri fungia kwenye boxa yako hata ukipata Kaswende. Mkeo akizaa zalisha mwenyewe chumbani mwako
Yaani haya maisha ya usomi sikujua Kama ni utumwa to this extent na kumbuka bado kazi ikitokea mnapigwa Tena mtihani.MCT kwa sasa imeingia KIRUSI, imeingiwa na MATAPELI, Imeingiwa na WANASIASA,hawa kina Elisha Osati huyu ambaye alikua Rais wa MAT eti naye ni Staff member wa MCT, siasa tupu kuumiza Vijana wa watu.
Haiwezekani kijana huyu aliyekaa chuo miaka 5 au 7 kwa wale wa nje, anataka kuanza mafunzo unampa mtihani, anamaliza unampa mtihani tena, kuna kozi gani ina Pre and Post internership? UTAPELI mtupu kubana pesa za umma. Ngojeni CORONA itawanyoosha na hivi madaktari watakua wachache.
Wewe Ndio mwenye hofu na mtihani.... kwa mwanafunzi competence, sina hakika kama hatakuwa na hofu dhidi ya pre and post internships exams...Mkuu inawezekana una point.. lakini ungeona structure ya huo mtihani ungeelewa andiko la jamaa.. mtihani ni wakisiasa sana..
Maana mtihani una maswali 150 unayafanya kwa masaa 3. Maswali yote ni multiple choice na ni theory tu.
Kijana wa mwaka wa 3 ana mtihani ulio realistic zaidi ya mtihani wa post au pre intern..
Hii mitihani ingekua ya maana kama ingekua theory na practical kama mtihani mingine ya medical school. Lakini huu wa maswali 150 tana theory ni kupotezeana muda na pesa tu.
Pia hela ya registration kupata leseni baada ya kufaulu hio mtihani ni kubwa sana.. imagine mtu huna kazi utoe 300k kwa ajili ya registration na kupata leseni.
Mbona CPA na school of law kuna mitihani baada ya kumaliza shule?Hili swala la mitihani baada ya mtu kumaliza masomo na kugraduate sidhani kama ni sahihi sana na naliona kama ni kwa ajili ya upigaji zaidi .
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Safi sana. Tena mpigwe pepa la nguvu.
Huko vyuoni hamsomi kazi yenu kubwa ni kuingiza chupa sehemu za siri tu.
Wewe ndio ulitaka kumshtaki JPM? watu walifikiri uko serious kumbe chizi tuuSafi sana. Tena mpigwe pepa la nguvu.
Huko vyuoni hamsomi kazi yenu kubwa ni kuingiza chupa sehemu za siri tu.
Politics zinaingiaje hapo wakati hiyo mitihani ni suala la kitaaluma?Elewa basi ukiambiwa kua politics ndani yake. Ni kozi gani ina Pre and Post internership?
Mtihani maana yake ni kipimo kinachoandaliwa kwa siri chenye lengo la kupima uelewa kwa kile ulichojifunza, hivyo ni wazi kila mwaka ni mtihani mpya kama ilivyo mitihani mingine katika shule, vyuo nk.Huo mtihani utakuwa unabadilika au kila mwaka ni huo?
Kuwa serious ni kutokuusema ukweli?Wewe ndio ulitaka kumshtaki JPM? watu walifikiri uko serious kumbe chizi tuu
Ukweli? uliwaona wakiweka hizo chupa au ndio uchizi wenyewe huoKuwa serious ni kutokuusema ukweli?