Medical council of Tanganyika(MCT), acheni kuonea vijana wa wanaomaliza udaktari

Pole

But siyo kitu cha ajabu
 
si hayo tu hata ukienda semina yeyote km ya COVID bado utapigwa paper! utafanya kazi weeee!! mara ghafla siku moja asubuhi unaingia kazini unaambiwa pandisha juu!! kule unakuta tena paper ya ghafla bila kujiandaaa!!!

na mabingwa uso wajua nakwambia mbona daktari ni paperza mitihani tyuuuuu!! ......mpaka anakufa! hapo bado mijadala kila siku asubuhi ward round!! mawodini huko!!

haya bado medical meeting presenations case zisizo pungua mbili kila siku kabla ya kuanza kazi!! hapo napo mtakaa weee!! maswali na majibu! mweee! kazi kweli kweli!...hapo haijatokea death dr sukari anajua sijui yuko wapi huyu mwamba!!

sasa basi Death bana utaelezea weeeee!! kwa nini! wapi! lini! kwa aje jamani nyie!! wacha tu hawa jamaa waingie kwa siasa make huko ni muziki muziki na wewe ndo maana hawana muda wa kusema sema saana!!

sasa hapo kipindupindundo kiingie mama weee!......halafu hakuna maji kibongo!! bongo yaani usipokwenda na maji yako kwenye gari yako itakuwa imekula kwako!!
 
hatutaki madaktari wazembewazembe, wawanoe haswa, tena tulia dawa ikuingie.
 
wacha wapigwe pepa za kutosha maana wanatibu binadamu sio mbuzi wala kuku. Hatutaki madaktari wa degree za chupi kama walimu. Tunataka madaktari vichwa na mabingwa kwelikweli.
 
Unamkuta anatembelea mark two second hand Ila hii kazi ni kujitolea mkuu kuokoa maisha ya watu. Ingawa wabunge hawajitolei kuwaongoza watu.
 
Kuna kitu kinaitwa CPD points nacho ni mwiba kwa ma dr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…