Medical Council of Tanganyika (MCT) lengo lenu ni lipi kwa vijana wetu? Njooni mueleze

Pepa zetu za pharmacy zina balaa..

PC001
PC002
PC003
Shekilage haelewii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Unasupp mpaka unaelewa somo.. hawa MD wanapitishwa ila hilo suala la Pre intern ni kuwaoneaa aiseee..
 
Hizi bodi ni za kukusanya pia tu fedha wakati mwingine..

Mfano kwa Pharmacy Council kwa sasa kuapply internship tu ni 175,000..kufanya post intern exam ni 160,000... Bado sup moja 50,000

Watu wa maabara kupitia bodi yao ya HLPC kuapply/kupangiwa ni bure..sasa kwanini kuna utofauti kama huu kwenye kada moja?.
 
Eeehe kumekuchaaa... Mbona majanga kwani hii imepitishwa????[emoji3][emoji3][emoji3]
Imepitishwa mkuu..kwa mwaka huu wanafanya tarehe 13 this month kabla ya kuanza intern November.

Nataka kuamini kuwa wanaangalia zile basics tu,na mtu asiyekuwa nazo basi intern hatoenda,utaendelea kuishikilia tu degree yako.
 
Ningependa mada hii ichangiwe na wanataaluma zaidi wengine tubaki wasomaji.

Tutajuwa mchele na pumba ni zipi tukipata intellectual argument za wanataaluma.
Bora umewahi kusema, maana Makanjanja huwa ndio wanawahi siti za mbele.
Hata kama topic ni kuhusu nuclear physics,unakuta ngwini anakaukwa mate kutoa lekcha 😀😀😀
 
Shekilage anakula vichwa sio poa..ukipata leseni yako unafurahi kinoma..
Hivi mkuu Pharmacy ni ngumu sana?!!

Mbona nikikutana na washkaji wanaongea kana kwamba Kuna URASIMU NA "PSYCHOLOGICALLY TORTURE" kwa wanafunzi na pia malipizi ya kuonea wengine kwa wale waliokwisha kupita na kufanikiwa kada hiyo?!!
 
Siwezi kusema ni ngumu au laini kulinganisha na nyingine..lakini nachoamini ni kuwa inabidi ukae chini ujifunze sana..

Kuna kozi bhana ni ngumu kama Pharmaceutics..huko mtu unasoma hadi hesabu za Laplace..yaani full kuvurugana..kimsingi sio fani rahasi rahisi tu kusoma.
 
Oooo kumbe....

Ndio maana basi wakimaliza na kuwa walimu huwa watata sana....🤣🤣

Tukiwa huko mapumzikoni tunawasikia hao jamaa wanavyojitapa kwa "kuwaning'iniza wanafunzi " ha ha ha
 
Nchi za watu huku mitihani hufanyika baada ya kumaliza muda wa mazoezi .

Hiyo pre-intern kama sijaielewa vizuri kidogo lengo lake kubwa ni nini..japo nilikua miongoni mwa watu tuliohitaji post intern exam iwepo kipindi kile maana MD's walikua hawana mtihani huu baada ya intern japo hata modality ya mtihani wenyewe waliouweka nilijulishwa sio mzuri..

Huku mtu ili apate leseni lazima afanye USMLE exam na umegawanyika step 1 & 2 .

Nadhani Tanzania wangetembea na mfumo huo tu.
 
Mkuu umeeleza vizuri sana,lakini pia modality yake iwe inayoeleweka
 
Oooo kumbe....

Ndio maana basi wakimaliza na kuwa walimu huwa watata sana....🤣🤣

Tukiwa huko mapumzikoni tunawasikia hao jamaa wanavyojitapa kwa "kuwaning'iniza wanafunzi " ha ha ha
Mkuu mie naamini hakuna course ngum ili Hali mtu kaomba akaisome ,tiyari amejiandaa ,na anajua anaimudu, hao wasitishe watu
 
Imepitishwa mkuu..kwa mwaka huu wanafanya tarehe 13 this month kabla ya kuanza intern November.

Nataka kuamini kuwa wanaangalia zile basics tu,na mtu asiyekuwa nazo basi intern hatoenda,utaendelea kuishikilia tu degree yako.
KWa iyo ina maana gani Kama Sio kuhujum uchumi, maana vijana wanadaiwa pesa huko bord lini wataanza kuzirejesha ? Maana mtu anabaki ameshikili cheti tu maana yake hawezi ajirika popote, maana yake NIKUWEKA Cheti kabatin na kuendesha bajaji, MCT ni kwamba hawajui serikali imewekeza pesa NYINGI KWa Hawa vijana? Na Sio chin mil 30, KWa KILA kijana, pesa hizi ni kodi za WATANZANIA

Hawa ni wahujum uchumi wengine, yani tz kila taasisi IMEKUA kambare ,wanafanya Mambo ya ajabu ajabu bila kupima effect
 
Ningependa mada hii ichangiwe na wanataaluma zaidi wengine tubaki wasomaji.

Tutajuwa mchele na pumba ni zipi tukipata intellectual argument za wanataaluma.
Mie si dkt na aghalabu sijawahi kuwa na ndoto ya kuwa lakini siihitaji rocket science kujua MCT wamechemka kama hoja za mtoa mleta maada ni za kweli.
 
Acha uongo yan CA akawa bora kuliko MD co kweli. Na haiwez kutokea
 
🤣🤣Kwa hiyo "wanajimwambafai tu"?!! Ha ha ha
Lazima tuwe wawazi binadam yeyote huweza badilika lingana na mazingira yanayomkabili, mpaka mtu anaomba course flani amejiandaa ,vinginevyo Kama zingekua ngum Kama wanavyotaka kuaminisha umma basi watu wasingekua wanaenda na kumaliza course zao, huku kutisha nikutaka tengeneza vizazi vijavyo ili waanze ogopa course flan flan

Yupo kijana wangu wa mwisho anataka kua ruban ,Sasa nianze muogopesha masomo ayo ni Magum wakati yeye ameamua na ndo anachotaka, Mimi Kama mzazi nikuhakikisha natumia akili, ili afanikishe ndoto zake japo ni gharama kweli kweli , ila lazima maana ndo anachotaka
 
Mie si dkt na aghalabu sijawahi kuwa na ndoto ya kuwa lakini siihitaji rocket science kujua MCT wamechemka kama hoja za mtoa mleta maada ni za kweli.
Ni kweli mkuu yupo mdau hum amesema wanafanya pre intern tarehe 13/oct/2021
 
Ila kiukweli ni kuwa baadhi ya "madokta,wafamasia,mainjinia,wanasheria" huwa wana EGO sana huku mabaa na vijiwe maskani.....tunasikia tambo zao kuwa walichosoma ni KIGUMU kama vile kimetoka sayari za mbali 🤣

Na baadhi ya walimu wao huwa wanajitapa sana jinsi kwa makusudi wanavyowakaba "koo" wanafunzi wao.....Ukitaka kuwasikia hivyo basi wanunulie "kilaji" tu 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…