Medical Council of Tanganyika (MCT) lengo lenu ni lipi kwa vijana wetu? Njooni mueleze

Dah Ila MBBS ni ngoma nyingine kabisa sio rahisi kama mnavyodhania kumbuka daktari ataacha kusoma siku akifa tu lakini maisha yake yote ni kusoma tu
Ndio maana mimi huwa nikiona watunwanabishana humu mara taaluma hii ya afya ni bora nabaki kushangaa tu.

Sekta ya Afya bila team work hakuna kitachofanyika. Kila siku kuna jipya.

Kila siku ya kazi ni darasa.
 
Watu wengi wanahangaika na matokeo badala ya chanzo ukweli ni kwamba hata hao wenye lesseni pamoja na kufanya hiyo mitihani bado wapo watu wanafanya vibaya kwenye field, kinachotajika ni hivi vyama ukuendelea kufanya update kwa watu wake katika masuala mbalimbali yanayohusu taaluma zao, Kwenye afya lazima upate changamoto maana new cases pia ni nyingi, kuwafanyisha watu mitihani halafu unakuja kukutanana tena kwenye kurenew lesseni baada ya miaka 2 au 4 haitoshi , hivi vyama vibuni program mbalimbali juu ya wanachama wao ili wawe updated kila muda
 
Wakeni MAT hao na wajinga wengine,jamaa wanaboa kinoma haom

Watu wengi wanahangaika na matokeo badala ya chanzo ukweli ni kwamba hata hao wenye lesseni pamoja na kufanya hiyo mitihani bado wapo watu wanafanya vibaya kwenye field, kinachotajika ni hivi vyama ukuendelea kufanya update kwa watu wake katika masuala mbalimbali yanayohusu taaluma zao, Kwenye afya lazima upate changamoto maana new cases pia ni nyingi, kuwafanyisha watu mitihani halafu unakuja kukutanana tena kwenye kurenew lesseni baada ya miaka 2 au 4 haitoshi , hivi vyama vibuni program mbalimbali juu ya wanachama wao ili wawe updated kila muda
Aisee mkuu ,nafikiri upo afya ,umeongea vizuri Sana na nafikili mzoefu ndani ya sector hii ya afya, Kuna watu hum huongea Hata wasiyoyajua, thanks
 
Nikifuatilia huu mjadala wa wanataaluma sasa ndio naanza kuelewa ni kwa nini inasemekana Dr Hussein Mwinyi baada ya Kugraduate kule Uturuki hakufanya internship mpaka anakuwa Rais wa Zanzibar.
 
A

AMO walifundishwa na MDs ficha ujinga basi. Mimi sio daktari lakini huwezi kunidanganya kiasi hiki. Bwege wewe utakuwa haohao wa vyuo vya kata. Internship sio field we pimbi. We kwanza kama ni daktari huna akili na hukupaswa kuwa.
Ni kweli chuoni AMO walifundishwa na MDs lakini ni MDs wazoefu. Halafu AMO amepractice kwa muda mrefu na ana uzoefu mkubwa. Akija MD fresh from school ndiyo ana ujuzi mkubwa kuliko AMO lakini AMO ana uzoefu mkubwa kuliko huyu MD. MD ana mambo kadhaa ya kujifunza toka kwa AMO and vice versa!! Haya ni mambo ya kawaida, na kwa kusema hivyo hatumdharau yeyote!!
 
Mtu akienda intern anafanya kazi nyingi za kidaktari, kwa usalama wa mgonjwa ni vyema kujiridhisha kuwa ana basic knowledge za udaktari.

Basic knowledge amabayo hakauipata chuoni? Unapoongelea MDs, ni vyuo vingapi Bongo vinatoa?

Chuo kipi (if that) unadhani kinatiliwa mashaka?
 
Ni kweli chuoni AMO walifundishwa na MDs lakini ni MDs wazoefu. Halafu AMO amepractice kwa muda mrefu na ana uzoefu mkubwa. Akija MD fresh from school ndiyo ana ujuzi mkubwa kuliko AMO lakini AMO ana uzoefu mkubwa kuliko huyu MD. MD ana mambo kadhaa ya kujifunza toka kwa AMO and vice versa!! Haya ni mambo ya kawaida, na kwa kusema hivyo hatumdharau yeyote!!
Umeongea ukweli mkuu, Sasa huyu jamaa kaja amesimama Kama mnara wa sim, achana na Amo field ata atendat ni walimu wetu pia,that's nimemfutilia mbali akapambane na Hali yake,mtu matusi tu hajui lolote ndani ya field ya medicine, yeye akipata busha anafikili akiwa chumba Cha upasuaji killa anaemuona ni dr,? Akili ndogo Sana ila matusi mengi , hana adabu
 
Sina mengi ,kwanza niwasalimu, wanajf popote mlipo, KILA mmoja KWa imani yake.

Pili niende kwenye mada moja kwa moja

Tanzania tunavyama vingi Kama sio utitiri vinanvyo simamia taaluma flani flani ,nk, ila leo nimejikita KWa Hawa MEDICAL COUNCIL OF TANGANYIKA (MCT).

Binafsi Kama baba na mlezi ambae nimepitia Iyo taaluma na kusonga mbele, ningependa ( MCT) mnipe majibu.

Taaluma manayosimamia najua mnaijua vizuri,ndo maana mpo apo,mnajua pamoja na intern inachukua miaka sita shule kumalizika ,inayojumlisha mafunzo ya vitendo na theory ilo Sina shaka kabisa kwamba hamjui.

Enzi zetu hatukua na post intern exam, japo ni hivi karibuni mlianzisha ,binafsi Sina shida na Hili ,WENDA lego lenu nikumpima uyu Dr nini amejifunza zaidi, japo sion logic yoyote ,kwani alipo kule si ana waangalizi wake kwenye hospital aliyopo, Sasa unampa mtiani umemfundisha nini badala ya mtiani kupewa pale Hospital alipofanyia intern.

NAOMBA JIBUN ILI PIA
Hamjatosheka Sasa nasikia mmekuja na kitu kinaitwa pre intern Exam , kwamba vijana wamemaliza masomo ya miaka mitano, walim wao ,vyuo vimejiridhisha kwamba wako vizuri na wamefaulu nyie ndo ,mwajifanya kutoamini vyuo vyao, walim wao ,kwamba mnatoa mtiani wa kuwapima tena Ili waende intern, ebo nyie vipi ,kuzalisha ukiritimba mpaka kwenye maisha ya watu,
Nyie mlioko hapo na kugawana posho mlifanyiwa hivi?

1.Sasa toeni majibu Iyo pre intern exam KWa awa vijana impact yake ni ipi, ?

2.Alafu naomba mtueleze KWa uwazi majukum yunu yawe wazi msije kua mnaingilia mpaka KAZI za TCU, maana nimeona kijana wangu KILA kukicha anaomba pesa ,nikiuliza ya nini naenda kuverify vyet vya form 4, 6, Ili nitume maombi MCT Ili kufanya mtiani

Swali
KWa Iyo nyie mmejigeuza TCU iliyomdahili uyu mwanafunzi kwenye chuo chake, akapata na mkopo bord, asilimia 100, leo wewe unataka vyeti vya nyuma Ili iweje?
2. Awa vijana mnaowachelewesha KWa ukiritimba tu ,badala waende intern wamalize wapate pa kujiegesha, Ili kuanza angalau rejesha pesa walizokopa ,Ili iwasaidie vijana wengine ,je mnaona mnawatendea haki watanzania ,na Kama sivyo KWa nini muendelee kalia viti hivyo

Mwisho naomba MCT mlete majibu live , vinginevyo nitajua Kuna kitu nyuma ya pazia ambacho mnapitia mlango wa nyuma kukifanikisha KWa malengo YENU
MCT NJOONI MJIBU, tumechoka tz na manyanyaso
 
We jamaa acha kujifanya mzazi eti unalalamika mwanao anamniwa kutoa michango… wewe ni mwanafunzi wa Clinical Medicine ila umekuja kulalamika hutaki kupimwa uwezo wako kwa Mitihani.
Kile ambacho wafanya MCT kuweka pre intern na post intern exam ni kuwapima hawa wanafunzi kama wanefudhu kisawa sawa ukizingatia vyuo vimekua vingi sana hasa hivi vyuo vinavyomilikiwa na watu/Mashirika Binafsi.
 
Mie wenda pia Nina umri Kama wazazi wako ,changia KWa adabu, alafu elewa vyovyote vile haiondoi maana ya uzi huuu
 
We jamaa acha kujifanya mzazi eti unalalamika mwanao anamniwa kutoa michango… wewe ni mwanafunzi wa Clinical Medicine ila umekuja kulalamika hutaki kupimwa uwezo wako kwa Mitihani.
Kile ambacho wafanya MCT kuweka pre intern na post intern exam ni kuwapima hawa wanafunzi kama wanefudhu kisawa sawa ukizingatia vyuo vimekua vingi sana hasa hivi vyuo vinavyomilikiwa na watu/Mashirika Binafsi.
Sikia nimetumikia WIZARA hii,NCHI ,na wenyenchi mpaka miaka saba then, nikaondoka nikianzia huko TA ,utaniambia nini WEWE wa kuja?
 
We jamaa acha kujifanya mzazi eti unalalamika mwanao anamniwa kutoa michango… wewe ni mwanafunzi wa Clinical Medicine ila umekuja kulalamika hutaki kupimwa uwezo wako kwa Mitihani.
Kile ambacho wafanya MCT kuweka pre intern na post intern exam ni kuwapima hawa wanafunzi kama wanefudhu kisawa sawa ukizingatia vyuo vimekua vingi sana hasa hivi vyuo vinavyomilikiwa na watu/Mashirika Binafsi.
Nasibi ulete KINGINE mkuu, Nina certificate NYINGI Sana za miradi mbalimbali, LABDA SWALI nikiulize

Wakati MRDT zinaanza tz zilianzia wapi ? Na je zilikua Kama izi za Sasa ? Je tz majaribio yalianzia wapi?

Wakati hizi digital Bp mashine zinaingia ,namanisha hizi za mezani achana na zingine lini zimeanza ingia nchin, ACHA blabla jibu maswali Ayo then twendelee
 
Hawa MCT wapigaji tu kudadeki zao💪💪💪💪💪
 
Nasibi ulete KINGINE mkuu, Nina certificate NYINGI Sana za miradi mbalimbali, LABDA SWALI nikiulize

Wakati MRDT zinaanza tz zilianzia wapi ? Na je zilikua Kama izi za Sasa ? Je tz majaribio yalianzia wapi?

Wakati hizi digital Bp mashine zinaingia ,namanisha hizi za mezani achana na zingine lini zimeanza ingia nchin, ACHA blabla jibu maswali Ayo then twendelee

Kwahiyo umeona uniulize hayo maswali ili kwamba tukujue kuwa unajua sana ama unataka kutuogopesha kukuambia ukweli ??

Waliopitisha huo utaratibu waliafikiana wakiwa na akili timamu ili kuongeza ufanisi kwenye uandaaji wa wnaataaluma. Kwanza wewe ni wazi kabisa ni mtu uliyesoma cheti na ndio umeenda kusoma CO kwa kutumia D tatu za o level. Na kwa sababu ya uwezo wako mdogo ukaamua kwenye vyuo vyenye madudu ili upite kwa mteremko na Bahati mbaya umesikia kuna Paper huko mbele ndio unaanza kuwaza kama utachomoa. Hebu waache MCT na MAT wasimamie taaluma. Nenda usome ili ufaulu. Punguza porojo ukiona umeumia sana itisha press uwaeleze waandishi hizo takataka zako.
 
NAOMBA JIBUN ILI PIA
Hamjatosheka Sasa nasikia mmekuja na kitu kinaitwa pre intern Exam , kwamba vijana wamemaliza masomo ya miaka mitano, walim wao ,vyuo vimejiridhisha kwamba wako vizuri na wamefaulu nyie ndo ,mwajifanya kutoamini vyuo vyao, walim wao ,kwamba mnatoa mtiani wa kuwapima tena Ili waende intern, ebo nyie vipi ,kuzalisha ukiritimba mpaka kwenye maisha ya watu,
Nyie mlioko hapo na kugawana posho mlifanyiwa hivi?

1.Sasa toeni majibu Iyo pre intern exam KWa awa vijana impact yake ni ipi, ?

2.Alafu naomba mtueleze KWa uwazi majukum yunu yawe wazi msije kua mnaingilia mpaka KAZI za TCU, maana nimeona kijana wangu KILA kukicha anaomba pesa ,nikiuliza ya nini naenda kuverify vyet vya form 4, 6, Ili nitume maombi MCT Ili kufanya mtiani

Swali
KWa Iyo nyie mmejigeuza TCU iliyomdahili uyu mwanafunzi kwenye chuo chake, akapata na mkopo bord, asilimia 100, leo wewe unataka vyeti vya nyuma Ili iweje?
 
Wewe ndio ulipaswa ulijibu hilo swali kwa sababu kwenye maada yako umelitaja. Unakunya alfu unayakimbia mavi yako.
Watu wazembe kusoma na mnaopenda mserereko lazima mlie mlie huku. Tena nawasifu sana MCT na MAT kwa maamuzi mazuri kwa kweli wanasitahili pongezi hasa kipindi hiki chenye utitiri wa vyuo vya Binafsi. Nenda ukasome MAT wanakunyoa kwa kipande cha Tofali.
 
Kwahiyo umeona uniulize hayo maswali ili kwamba tukujue kuwa unajua sana ama unataka kutuogopesha kukuambia ukweli ??

Waliopitisha huo utaratibu waliafikiana wakiwa na akili timamu ili kuongeza ufanisi kwenye uandaaji wa wnaataaluma. Kwanza wewe ni wazi kabisa ni mtu uliyesoma cheti na ndio umeenda kusoma CO kwa kutumia D tatu za o level. Na kwa sababu ya uwezo wako mdogo ukaamua kwenye vyuo vyenye madudu ili upite kwa mteremko na Bahati mbaya umesikia kuna Paper huko mbele ndio unaanza kuwaza kama utachomoa. Hebu waache MCT na MAT wasimamie taaluma. Nenda usome ili ufaulu. Punguza porojo ukiona umeumia sana itisha press uwaeleze waandishi hizo takataka zako.
Sikia sikuuliza ili nijimwafy nimekuliza ili kushare ,Sasa Kama upo hapo KWa kubeza ACHA Tabia iyo
 
Sina mengi ,kwanza niwasalimu, wanajf popote mlipo, KILA mmoja KWa imani yake.

Pili niende kwenye mada moja kwa moja

Tanzania tunavyama vingi Kama sio utitiri vinanvyo simamia taaluma flani flani ,nk, ila leo nimejikita KWa Hawa MEDICAL COUNCIL OF TANGANYIKA (MCT).

Binafsi Kama baba na mlezi ambae nimepitia Iyo taaluma na kusonga mbele, ningependa ( MCT) mnipe majibu.

Taaluma manayosimamia najua mnaijua vizuri,ndo maana mpo apo,mnajua pamoja na intern inachukua miaka sita shule kumalizika ,inayojumlisha mafunzo ya vitendo na theory ilo Sina shaka kabisa kwamba hamjui.

Enzi zetu hatukua na post intern exam, japo ni hivi karibuni mlianzisha ,binafsi Sina shida na Hili ,WENDA lego lenu nikumpima uyu Dr nini amejifunza zaidi, japo sion logic yoyote ,kwani alipo kule si ana waangalizi wake kwenye hospital aliyopo, Sasa unampa mtiani umemfundisha nini badala ya mtiani kupewa pale Hospital alipofanyia intern.

NAOMBA JIBUN ILI PIA
Hamjatosheka Sasa nasikia mmekuja na kitu kinaitwa pre intern Exam , kwamba vijana wamemaliza masomo ya miaka mitano, walim wao ,vyuo vimejiridhisha kwamba wako vizuri na wamefaulu nyie ndo ,mwajifanya kutoamini vyuo vyao, walim wao ,kwamba mnatoa mtiani wa kuwapima tena Ili waende intern, ebo nyie vipi ,kuzalisha ukiritimba mpaka kwenye maisha ya watu,
Nyie mlioko hapo na kugawana posho mlifanyiwa hivi?

1.Sasa toeni majibu Iyo pre intern exam KWa awa vijana impact yake ni ipi, ?

2.Alafu naomba mtueleze KWa uwazi majukum yunu yawe wazi msije kua mnaingilia mpaka KAZI za TCU, maana nimeona kijana wangu KILA kukicha anaomba pesa ,nikiuliza ya nini naenda kuverify vyet vya form 4, 6, Ili nitume maombi MCT Ili kufanya mtiani

Swali
KWa Iyo nyie mmejigeuza TCU iliyomdahili uyu mwanafunzi kwenye chuo chake, akapata na mkopo bord, asilimia 100, leo wewe unataka vyeti vya nyuma Ili iweje?
2. Awa vijana mnaowachelewesha KWa ukiritimba tu ,badala waende intern wamalize wapate pa kujiegesha, Ili kuanza angalau rejesha pesa walizokopa ,Ili iwasaidie vijana wengine ,je mnaona mnawatendea haki watanzania ,na Kama sivyo KWa nini muendelee kalia viti hivyo

Mwisho naomba MCT mlete majibu live , vinginevyo nitajua Kuna kitu nyuma ya pazia ambacho mnapitia mlango wa nyuma kukifanikisha KWa malengo YENU,
Tambua nyie MCT Serikali imewekeza Sio chini ya m30 KWa KILA kijana anzia mwaka wa KWANZA ,leo mwaja na Mambo ya kienyeji ,
Kama umefail mtihani, rudia tena dogo acha manung'uniko yasiyo na msingi.
 
Back
Top Bottom